Staili mpya za wawekezaji wa kizungu, kuwekeza huko bongo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Staili mpya za wawekezaji wa kizungu, kuwekeza huko bongo

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by CHASHA FARMING, Nov 22, 2011.

 1. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #1
  Nov 22, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  WAKUU SIKU HIZI KUNA NJIA MPYA ZA KUIBA LASILIMALI ZA NCHI HII NA UKWEPAJI WA KODI.

  HUKU KARATU KUNA KITU KINAITWA RHOTIA VALLEY TENTED LODGE CHILDREAN HOME.
  INABIDI TIC, TRA NA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA WATUJUZE KAMA HII NI EIZA

  1. N.G.O AU
  2. KAMPUNI


  WAKUU HAWA WAZUNGU WANCAMP YAO WANAPOKEA WAGENI LAKINI WANA KITU HAPO HAPO KINAITWA CHILDREN HOME MEANS WANALEA WATOTO WALIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU.

  SASA JE,

  1. HAYO MAPATO YATOKANYO NA HIYO LODGE YAO NDO WANATUMIA KULELEA HAO WATOTO?

  2. KAMA SIO JE WANALIPA KODI? JE WAMESAJILIWA VIPI HUKO BRELA?

  KWA KWELI KUNA AINA FULANI YA WIZI UNAOFANYWA NA HAO WAZUNGU KWA SABABU KAMA NI MISAADA YA KULEA HAO WATITO WANAPATA KUTOKA NJE YA NCHI SASA HILI LA HOTELI YAO YA KITALII SIJAJUA INAKUWA VIPI.  HAYO HAPO CHINI NDO MAELEZO YALIYOKO KWENYE HIYO ENTREPRISES YAO
  Rhotia Valley
  Rhotia Valley is a project, completely embedded in the community of Rhotia in Tanzania. It's aim is to give support to the people of the Rhotia area, especially to the children. Rhotia Valley consists of Rhotia Valley Tented Lodge on one hill and Rhotia Valley Children's Home on the opposite hill: Two hills one goal!

  At the lodge you can enjoy every comfort in a typical African atmosphere. With only fifteen en-suite tented houses it offers intimate charm and personal service. By staying at Rhotia Valley Tented Lodge, you directly contribute to the wellbeing of the children of the adjacent Children's Home

  Rhotia Valley Children's Home is our safe and cosy home for children of the local community. Children, who don't have family to take proper care of them. We help these children build their future - a promising future!
   
 2. babu M

  babu M JF-Expert Member

  #2
  Nov 22, 2011
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 3,992
  Likes Received: 990
  Trophy Points: 280
  Jibu mbona lipo kwenye post yako.Soma hapo chini:
   
 3. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #3
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Labda aseme lugha iliyotumiwa hajaielewa!!
   
 4. Xuma

  Xuma JF-Expert Member

  #4
  Nov 22, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 631
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Avatar yako mkuu inaniachaga hoi!
   
 5. Erick_Otieno

  Erick_Otieno JF-Expert Member

  #5
  Nov 22, 2011
  Joined: Mar 28, 2010
  Messages: 630
  Likes Received: 944
  Trophy Points: 180
  Sasa wanaiba nini na unalalamikia nini?, je hawasaidii hao watoto? Sijakuelewa!
   
 6. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #6
  Nov 22, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,982
  Likes Received: 729
  Trophy Points: 280
  Mkuu ni UK ile ya SHY au kwingineko?Avatar na eneo unalotoka vinaendana kabisa.
   
Loading...