Staili mpya za wadada wa upinzani kwenye kampeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Staili mpya za wadada wa upinzani kwenye kampeni

Discussion in 'International Forum' started by MWANA WA UFALME, May 9, 2012.

 1. MWANA WA UFALME

  MWANA WA UFALME JF-Expert Member

  #1
  May 9, 2012
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 578
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadada wa venezuela wamekuja na syle yao mpya ya kampeni kwa maneno ya ti-shirts zao

  tafsiri ya maneno yaliyopo kwenye ti-shirt inasema ''naipenda venezuela bila chavez''

  sound like naipenda tz bila-----------------------'' malizia mwenyewe------bonyeza hapa kuona pic View attachment campaign pics.pdf
   
 2. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #2
  May 9, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Mti ukate shinani. Naipenda Tanzania bila-M-A-G-A-M-B-A-
   
 3. MWANA WA UFALME

  MWANA WA UFALME JF-Expert Member

  #3
  May 10, 2012
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 578
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hahaaa, chukua like
   
 4. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #4
  May 10, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  THANKS (kwa ukosefu wa kitufe).
   
 5. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #5
  Jul 31, 2016
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Wewe umenena yako, wao wanayao
   
 6. gaspar kauki

  gaspar kauki JF-Expert Member

  #6
  Jul 31, 2016
  Joined: May 17, 2014
  Messages: 580
  Likes Received: 140
  Trophy Points: 60
  Naipenda Tanzania bila ccm
   
Loading...