fazaa
JF-Expert Member
- May 20, 2009
- 2,984
- 1,026
Hahaha facts gani unazo ongelea wewe, uliona wapi wanaume wakasema wana sex nje ya ndoa na wakati wana sex, uliona wapi mwanaume ambaye mwanaume maisha yake yote kabla ya kuoa hakufanya sex na baada ya ndoa akawacha kwenda nje kama wapo ni 1% tu....na hao lazima kuna sababu kubwa ndo zimewafanya wasifanye sex kabla ya ndoa ukweli ndo huo.Unahitaji kuweka facts to cement your argument,.... otherwise....!
Wewe hapo kama una mke mmoja na huendi nje ya ndoa, ujuwe una matatizo ya kiume :biggrin: