Staili mpya ya Kampeni yabamba Liwale: Mbunge wa Kuteuliwa Salma Kikwete aomba kura wananchi akiwa amekaa chini

Najaribu kuwa, watu wanaojiita wa vyama vya upinzani...wangetoa kauli gani juu ya utekelezaji na uboreshaji wa demokrasia hapa nchini unaofanywa na serikali kama wakati fulani serikali ingesema 'hakuna kurudia uchaguzi kwani ni upovu wa ela'. Yaani nawaza, hao 'wapinzani uchwara' na wale wanaojibambika ukimbizi huko ng'ambo wangeibuka na kauli gani!!! Nawaza bado!


Ungekaa kimya na kupita ingesaidia zaidi............ sio kwa uj... huo aisee wewe kwa kuwa hela ya marudio inatoka kwenye mfuko wa wapinzani
 
Ndivyo inatakiwa iwe,sio eti kwasababu alikuwa ikulu sasa ndo aanze kushinda Dubey,paris,new york etc,undefinedhii ndo inaitwaga Downtoearth
 
Back
Top Bottom