Stahili za Mtumishi wa Umma anapohamishwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Stahili za Mtumishi wa Umma anapohamishwa

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by JamboJema, Nov 23, 2011.

 1. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #1
  Nov 23, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Wadau, naomba kudadavuliwa ni stahili zipi anapaswa kulipwa mtumishi wa serikali anapohamishwa kituo cha kazi. Aidha, nitapenda kujua rates zikovipi.
   
 2. MKUNGA

  MKUNGA JF-Expert Member

  #2
  Nov 27, 2011
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 443
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kama hujaomba uhamisho kuna stahili utapata. Kwa haraka haraka;
  1. Usafiri wa mizigo-hii iategemea na cheo chako mf. mimi ni tani 3,kama gari hamnautapewa mileage, sijui kwa sasa ni Tshs ngapi
  2. Subsistence allowance equal to your perdiem mf 45,000,65,000 au 85,000 per day kutegemea na mshahara/cheo chako
  3. Travel allowance, nadhani ni Tshs 6000 per day kama sikosei
  4. Utpewa amount sawa na mke (if married) na mtoto unapewa nusu (uhalali unanitia shaka)
  5. ......................
  6.........................
  NB. Tafuta Standing Orders of Public Service pamoja na Policy za hiyo Institution ambapo unafanyia mkuu zitakusaidia kujua haki zako maana hawa ma HR wetu siku hizi bogus kabisa (wengi wao), anaweza kukunyima stahili zako kwa kutozijua.
   
 3. A

  Apta Kayla JF-Expert Member

  #3
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 326
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  1. Utasafirishiwa Mizigo, kama wapokea mshahara kuanzia ngazi ya C kwenda Juu ni tani3. Kama ofisi yako haitakupa usafiri itabidi wakulipie gharama ya tani 3 mara Tsh 1000 mara umbali {kwa kilometa}
  2. Utalipwa subsistance allowance sawa na perdiem yako kwa siku 7 wewe na mwenza wako, na kama una watoto na wategemezi watalipwa nusu yake. {Hapa ni watoto wako wote ambao ulikuwa unaishi nao huko ulipotoka hata kama ni zaidi ya wa4}
  3. Utalipwa disturbance allowance {Hapa rates zinatofautiana, kwa watumishi wa serikali kuu ni Gross Salary ya mwezi mmoja ila wale wa Local gov wana formular yao}
  Kumbuka stahili hizi ni kwa uhamisho unaohusu kuhamisha mizigo, na uhamisho huo uwe si wa kuomba au kama umeomba na ukameet vigezo vya kulipwa basi uwe umepata uthibitisho wa kugharamiwa either na former or new employer kabla hujahama.
   
 4. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #4
  Nov 29, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Nimepata angalau mwanga.Thanking you both!
   
Loading...