'St. Nyerere’s' 18 political miracles

Abdulhalim,
Mimi ni mpentekoste,

Ndugu yangu Abdulhalim, haikusaidii kuendelea kutetea dini ambayo msingi wake si katika Neno la MUNGU. Fungua moyo wako kwa utayari wa kutaka kuujua ukweli ili Roho wa MUNGU aweze kukusaidia kuujua huo ukweli ili uweze kuufuata. I used to be a faithful RC member lakini nilijiachia kwa MUNGU anifundishe zaidi na sikuwa tayari kung'ang'ania dini. Na kweli neema ya wokovu ilifunuliwa kwangu nikaokoka na sasa nafurahi ndani ya YESU.

Sikiliza maneno haya ya YESU yanaweza kukufungua macho.

Matthew 15 (Amplified Bible)
6So for the sake of your tradition (the rules handed down by your forefathers), you have set aside the Word of God [depriving it of force and authority and making it of no effect].

7You pretenders (hypocrites)! Admirably and truly did Isaiah prophesy of you when he said:

8These people draw near Me with their mouths and honor Me with their lips, but their hearts hold off and are far away from Me.
9Uselessly do they worship Me, for they teach as doctrines the commands of men.

Karibu ndugu yangu katika wokovu tujiunge pamoja katika safari ya kwenda mbinguni.

Mazee kwanza futa mawazo kuwa nitaacha kuwa muumini wa kikatoliki.. Suala la wewe kuuacha ukatoliki wako haliingii ktk huu mjadala, huo ulikuwa uamuzi wako na katu hauwezi kutumika kama reference. Dhihirisha hoja kwa hoja, na wala usitegemee kuniletea lundo la vifungu ulivyovikariri kuni-convince..i know what i believe na niko very comfortable na imani yangu ya kumfuasa Kristu..hilo la kwanza. Tuwe focused kwenye hoja, mahubiri hapa si mahala pake.

Pili nataka tuongelee hili suala la kulazimisha kila kitu lazima kiandikwe kwenye Bible..Labda hapa twende taratibu tuone maandiko yanasemaje?

Tukisoma aya ya mwisho kabisa ktk injili ya Yohana Mtakatifu sura ya 21 aya ya 25 tusoma, nanukuu:

John 21:25. And there are also many other things which Jesus did, the which, if they should be written every one, I suppose that even the world itself could not contain the books that should be written. Amen

Unaweza pia kutembelea zaidi John 20:30, etc..

Hapa tunasoma kuwa sio kila kitu alichofanya Bwana Yesu kimewekwa kwenye maandishi,(Bible) Pia inasisitizwa kuwa kilichopo kwenye maandishi ni kidogo mno na kisichopo kwenye maandishi (Nje ya Bible).

Pili,ukisoma historia inayoelezea jinsi gani Bible imeweza kuwa ktk hali yake ya sasa kwa maana ya mkusanyiko wa vitabu, utakuta kuna vitabu kadhaa vilikuwepo kipindi hicho lakini havikuweza kukubalika kwa sababu moja au nyingine kuwemo ndani ya Bible. Hivi pia ni vyaweza kuwa vyanzo vizuri vya habari za Yesu.

Tatu, kama tunavyoamini kuwa Kanisa la Mungu li hai kama alivyo Kristu mwenyewe, hivyo basi Roho Mtakatifu bado anafanya kazi yake kwa ari ileile kama ilivyokuwa siku ya Pentekoste..Kazi za Roho Mtakatifu ni pamoja na kulifunza kanisa na ndio maana Kanisa lina document literature yake ktk kutoa muongozo wa kiroho..hiki pia ni chanzo kingine cha mafundisho ya Kanisa Katoliki...

Nimeshatoa vyanzo vitatu hapo juu, jinsi gani tunaweza kupata maneno ya Mungu. Ukitazama hapo utagundua kuwa hoja kuwa eti wakatoliki wanafuata maagizo ya kibinadamu si tu haina mashiko bali ni kichekesho. Ndugu kumbuka kuwa Yesu aliweka msingi wa Kanisa, hakuweka msingi wa Bible, Bible si kila kitu ..bali kanisa ndilo, maana humo ndimo watu tunapata wokovu.. Kanisa la kwanza liliandika Injili 4 na sio Maandishi ya Injili yaliyoweka Kanisa..hivyo ni vyema ukaelewa misingi hii bila kufanya uelewa wa kinyumenyume.

Kama kuna la ziada unakaribishwa nimejitahidi kuweka in summary tu.

Wakatabahu.
 
Afadhali ndugu yangu nawewe umeona ila kwasababu nilidhani ndo criteria ya utakatifu wa hilo kanisa niliogopa kusema maana wao vitu vyao vinaenda opposite na wakristo wengine na utii ndo kitu cha kwanza basi nikadhani ndo wako katika kutii. Maana inachekesha mtu alevuruga uchaguzi na kumweka mtu wake iwe criteria ya kumtambua kuwa ndo anafaa any way huko siko ila wakiingilia ukristo na democracy ta Tz hapo mimi sahani moja na wao mpaka kinaeleweka.

Mhh..pole yaani up to this point..you still dont get it!

Hizo sifa 18 zilizowekwa hapo juu sio kwa mujibu wa kanisa katoliki..hivi tuseme mara ngapi ili hili liweze kupenya kwenye bongo za baadhi ya wadanganyika?

Kaaaaazii kwelikweli.
 
Hello, mambo?

Nafurahi kuwa mwanachama wa forum hii na hii ni mara yangu ya kwanza kutoa maoni katika jamvi.

Ukisoma kwa makini mwandishi wa kwanza aliyemuelezea Mwalimu, utagundua kuwa hakubaliani na wazo la kumfanya mwalimu kuwa saint. Lkn amenishangaza kwa kuwa ametoa maelezo mengi yasiyo na ushahidi wowote na wengi wetu tumeingia kichwakichwa bila kutaka uthibitisho wowote. Madai kama mwalimu aliambiwa hivi au vile na kanisa katoliki, mara alimwambia hivi Muwanga, ni madai yasiyopaswa kukodolewa macho maana hayana kile tunachokiita "authenticity".

Kingine nachotaka kusema ni kuwa mara nyingi nabii hakubaliki kwao, kwa hiyo haishangazi mwalimu kupingwa na hii ndiyo ubinadamu- kuwa na utashi wa kukubali au kukataa

Nyerere alikubalika Tanzania. Hilo swala la kusema nabii hakubaliki kwao halina maana.

Kabla kuanza mikakati ya kumfanya Nyerere kuwa Saint, wakatoliki wengi wa Tanzania hawakuwa na mawazo kuwa Nyerere atakuwa Saint. Ni spins tu zinafanyika.

Nimeishi mkoa wa Mara, na kwa bahati nikiwa boarding school walikuwepo vijana wengi kutoka Butihama na karibu na Butihama. Na walikuwa wanatoa stori nyingi kuhusu Nyerere. Na hizo zilikuwa zinatolewa wakati mwenyewe akiwa hai.

Moja ambayo naikumbuka wazi: Inasemekana mtabiri wa Chifu Burito, alitabiri kuwa siku ya kuzaliwa kwa mrithi wa uchifu, mvua itachesha na chui atatokea na kuua kondoa. Mtoto huyo atakayezaliwa atakuwa sio chifu wa wazanaki tu bali chifu wa makabila mengine.

Na ni huko Musoma walikotoa mapendekezo ya yeye kuwa Saint. Hivyo kwao wamemkubali. Kwetu Morogoro sio kwao, hivyo usemi wako wa nabii kukataliwa kwao auingii akilini.
 
Mhh..pole yaani up to this point..you still dont get it!

Hizo sifa 18 zilizowekwa hapo juu sio kwa mujibu wa kanisa katoliki..hivi tuseme mara ngapi ili hili liweze kupenya kwenye bongo za baadhi ya wadanganyika?

Kaaaaazii kwelikweli.

Ndugu ABDULHALIM MIMI NIACHE TU NIENDELEE KUFURAHI KWA MAJIBU MAZURI UNAYOZIDI KUWAPA!ATLEAST INANIONYESHA JINSI WATU WALIVYO NA CHUKI KALI NA RC !!
NAZIDI KUSHANGAA YANI KWAJINSI WANAVYOKUSHAMBULIA!
HIZI CHUKI NDO ZITATUCHOMA MOTO!!

MMH....!
KAZI KWELIKWELI !
 
Mazee kwanza futa mawazo kuwa nitaacha kuwa muumini wa kikatoliki.. Suala la wewe kuuacha ukatoliki wako haliingii ktk huu mjadala, huo ulikuwa uamuzi wako na katu hauwezi kutumika kama reference. Dhihirisha hoja kwa hoja, na wala usitegemee kuniletea lundo la vifungu ulivyovikariri kuni-convince..i know what i believe na niko very comfortable na imani yangu ya kumfuasa Kristu..hilo la kwanza. Tuwe focused kwenye hoja, mahubiri hapa si mahala pake.

Pili nataka tuongelee hili suala la kulazimisha kila kitu lazima kiandikwe kwenye Bible..Labda hapa twende taratibu tuone maandiko yanasemaje?

Tukisoma aya ya mwisho kabisa ktk injili ya Yohana Mtakatifu sura ya 21 aya ya 25 tusoma, nanukuu:

John 21:25. And there are also many other things which Jesus did, the which, if they should be written every one, I suppose that even the world itself could not contain the books that should be written. Amen

Unaweza pia kutembelea zaidi John 20:30, etc..

Hapa tunasoma kuwa sio kila kitu alichofanya Bwana Yesu kimewekwa kwenye maandishi,(Bible) Pia inasisitizwa kuwa kilichopo kwenye maandishi ni kidogo mno na kisichopo kwenye maandishi (Nje ya Bible).

Pili,ukisoma historia inayoelezea jinsi gani Bible imeweza kuwa ktk hali yake ya sasa kwa maana ya mkusanyiko wa vitabu, utakuta kuna vitabu kadhaa vilikuwepo kipindi hicho lakini havikuweza kukubalika kwa sababu moja au nyingine kuwemo ndani ya Bible. Hivi pia ni vyaweza kuwa vyanzo vizuri vya habari za Yesu.

Tatu, kama tunavyoamini kuwa Kanisa la Mungu li hai kama alivyo Kristu mwenyewe, hivyo basi Roho Mtakatifu bado anafanya kazi yake kwa ari ileile kama ilivyokuwa siku ya Pentekoste..Kazi za Roho Mtakatifu ni pamoja na kulifunza kanisa na ndio maana Kanisa lina document literature yake ktk kutoa muongozo wa kiroho..hiki pia ni chanzo kingine cha mafundisho ya Kanisa Katoliki...

Nimeshatoa vyanzo vitatu hapo juu, jinsi gani tunaweza kupata maneno ya Mungu. Ukitazama hapo utagundua kuwa hoja kuwa eti wakatoliki wanafuata maagizo ya kibinadamu si tu haina mashiko bali ni kichekesho. Ndugu kumbuka kuwa Yesu aliweka msingi wa Kanisa, hakuweka msingi wa Bible, Bible si kila kitu ..bali kanisa ndilo, maana humo ndimo watu tunapata wokovu.. Kanisa la kwanza liliandika Injili 4 na sio Maandishi ya Injili yaliyoweka Kanisa..hivyo ni vyema ukaelewa misingi hii bila kufanya uelewa wa kinyumenyume.

Kama kuna la ziada unakaribishwa nimejitahidi kuweka in summary tu.

Wakatabahu.

Abdulhalim,
Kwahiyo ninyi RC mmechuka yale ambayo hayakuwekwa kwenye Biblia ndo mnasimamia hayo? Anyway kabla hatujaendelea sana basi naomba majibu ya hoja zangu kwenye post # 73 hapo juu.

Asante.
 
Abdulhalim,
Kwahiyo ninyi RC mmechuka yale ambayo hayakuwekwa kwenye Biblia ndo mnasimamia hayo? Anyway kabla hatujaendelea sana basi naomba majibu ya hoja zangu kwenye post # 73 hapo juu.

Asante.

Swali lako halina mashiko, nimeshaeleza kuwa mafunzo yanapatiwa kanisa kwanza na sio vinginevyo..inaonekana husomi majibu yangu vizuri ukayaelewa. Mungu anaongea na kanisa (watumishi wa Mungu), na kanisa ndio lina-document maagizo ya Mungu, Mungu haandiki maagizo..kanisa ndio linaandika..Soma majibu vizuri..usije ukatoka kapa na kunipotezea muda wangu adhimu na adimu.

Hizo hoja ulizoziweka kwenye post #73 nimeziona na naahidi kuzifanyia kazi. Hata hivyo umenistusha mno kuona kuwa ulikuwa ukijinadi kuwa mkatoliki wakati hujui haya mambo ya msingi uliouliza, yaani haya ni mambo very basic kwa adult catholic. Kama ulikuwa unanidanganya Mwenyezi Mungu anakuona na wala hatafurahishwa na sarakasi zako..Kwa ujumla..nitakupatia majibu mujarabu..wewe tulia keti kitako nitakujibu..hoja kwa hoja,, neno kwa neno, sarufi kwa sarufi..

Wakatabahu
 
Mungu haongei na kanisa period. Watu msiwe na monopoly na Mungu au Truth.

Maneno ya kanisa ni maneno ya watu.
 
Mungu haongei na kanisa period. Watu msiwe na monopoly na Mungu au Truth.

Maneno ya kanisa ni maneno ya watu.

Mazee kama hujui mjadala unapoanzia ni vyema ukakaa kando..usije ukaonekana kituko mazee. maana naanza taratibu kuchoshwa kuwaelekeza watu watumie akili zao. Hii kazi inaanza kunichosha.

Maneno ya kanisa ya watu na ya Mungu ni yepi? Mungu anaongea lugha gani?
 
Abdulhalim,

Naomba ujibu hoja zifuatazo kimaandiko;

1. Imani ya kusali kwa kutumia rosali imeanzia wapi?

Hili swali unaweza uka-google kuna majibu kila kona..na kama nilivyokwisha sema hakuna mahali panatushurutisha kuwa kila kitu lazima kiandikwe kwenye Bible.

Kama ni mvivu sana wa kupambana na WWW kutafuta maarifa, unaweza uka-narrow hii search hapa, hapa na hapa

BTW, huitaji kuwa Mkatoliki kusali rosary..kila mkristu anaweza kusali rozari ndugu..Karibu
 
Mazee kama hujui mjadala unapoanzia ni vyema ukakaa kando..usije ukaonekana kituko mazee. maana naanza taratibu kuchoshwa kuwaelekeza watu watumie akili zao. Hii kazi inaanza kunichosha.

Maneno ya kanisa ya watu na ya Mungu ni yepi? Mungu anaongea lugha gani?

Mazee:

Soma posti #7 ya thread hii na utaona nipo. Hivyi nafuatilia thread hii toka mwanzo lakini wenye dini zenu mnatia kichefuchefu wakati mwingine. Soma hii quote yako:

Swali lako halina mashiko, nimeshaeleza kuwa mafunzo yanapatiwa kanisa kwanza na sio vinginevyo..inaonekana husomi majibu yangu vizuri ukayaelewa. Mungu anaongea na kanisa (watumishi wa Mungu), na kanisa ndio lina-document maagizo ya Mungu, Mungu haandiki maagizo..kanisa ndio linaandika..Soma majibu vizuri..usije ukatoka kapa na kunipotezea muda wangu adhimu na adimu.

Huu ni uongo ulikomaa wa kutaka ku-monopolize truth.
 
Mazee:

Soma posti #7 ya thread hii na utaona nipo. Hivyi nafuatilia thread hii toka mwanzo lakini wenye dini zenu mnatia kichefuchefu wakati mwingine. Soma hii quote yako:

Huu ni uongo ulikomaa wa kutaka ku-monopolize truth.

Bado huelewi unachoongea na unarejea kudhihirisha uwezo duni wa kufautilia context ya unachokisoma. Hapo nilikuwa najaribu kumjuza ndg Mazingira kuhusu Bible na mechanism ambapo sisi tulioamini tunaamini kuwa Mungu ametuagiza a,b,c,d..kupitia vyanzo 1,2,3, ila wewe kwa sababu ya ujuaji wako umeingilia kati kuanza kumtawadha mtoto kabla hajenda haja.

Sasa endelea kuwepo hapa lakini hakikisha unasoma hoja na kuelewa, la sivyo tutakuacha njiani.
 
Hapo ndipo unapoboronga. Wewe huna hold yoyote ya truth na kwanini ufikiri unaweza kukaa hapa na kumjuza ndugu Mazingira?

Kwanini usifikiri kuwa ndugu Mazingira naye anaweza kukujuza wewe?.
 
Mazee:

Hapo ndipo unapoboronga. Wewe huna hold yoyote ya truth na kwanini ufikiri unaweza kukaa hapa na kumjuza ndugu Mazingira?

Kwanini usifikiri kuwa ndugu Mazingira naye anaweza kukujuza wewe?.

Mazee naona unazidi kunichosha na inaonekana hatupo pamoja. Ndg Mazingira ameniuliza maswali na mimi namjuza..sasa mazee hilo linaonekana linakukera sana..lol

Mazee keti kitako wakati nikiendelea kumjuza ndg Mazingira. Kama unalo la kuongezea unakaribishwa zaidi ya hapo sina msaada mazee.
 
Dah! Ngoja nifuate popcorn...! Menyewe kwa Menyewe! Bonge la Movie... si mchezo.
 
Maswali mazuri haya..

Kama nilivyokwisha kukujibu ktk siku zilizopita, sio kila kitu kinachoaminiwa katika kanisa katoliki kina misingi yake kwenye Bible.

Pia wakati ukisubiria isingekuwa vibaya nikajua wewe unasali wapi ili tushirikishane bana..si unajua utamu wa furaha ni kushirikishana..?

I like you! umesema kweli kabisa! so unataarifa kuwa nyie ndio wapinga kristo waliotabiriwa

Uktakajua vizurihil dhehebu lako soma kwa uangalifu

Roman Catholicism

catholicpriest.gif
Introduction

Apocrypha

Eucharist

Indulgences

Mary

Mass

Papacy, the

Penance

Purgatory

Salvation

Scripture and Tradition

Other

SIPENDI SANA USOME HIZI LINK ILA NALAZIMIKA;

READ FOR YOUR OWN RISK! najua watafunga hii thread

The Antichrist

Antichrist Slideshow

CONCLUSIVE PROOF
FROM THE BIBLE
THAT THE POPE
IS THE ANTICHRIST

(PROOF THAT THE POPE IS THE ANTICHRIST)

POPE JOHN PAUL II CARRIES CATHOLIC SYMBOL OF ANTICHRIST INTO ISRAEL MARCH 21, 2000

roman catholic antichrist - Google Search
 
HERE I MY REASONS WHY I AM NOT ROMAN CATHOLIC

1. OF ALL THE HUMAN TRADITIONS taught and practiced by the Roman Catholic Church, which are contrary to the Bible, the most ancient are the prayers for the dead and the sign of the Cross. Both began 300 years after Christ ... 310AD.

2. Wax Candles introduced in church about 320AD.

3. Veneration of angles and dead saints about 375

4. The Mass, as a daily celebration, adopted 394AD.

5. The worship of Mary, the mother of Jesus, and the use of the term, 'Mother of God', as applied to her, originated in the Council of Ephesus in .... 431AD.

6. Priests began to dress differently from the laity in 500AD.

7. The doctrine of Purgatory was first established by Gregory the Great about the year 593AD.

8. The Latin language, as the language of prayer and worship in churches, was also imposed by Pope Gregory I. 600 years after Christ ...600AD. The Word of god forbids praying and teaching in an unknown tongue. (1Cor.14:9).

9. The Bible teaches that we pray to God alone. In the primitive church never were prayers directed to Mary, or to dead saints. This practice began in the Roman Church about 600AD. (Matt. 11:28; Luke 1:46; Acts 10:25-26; 14:14-1

10. The Papacy is of pagan origin. The title of pope or universal bishop, was first given to the bishop of Rome by the wicked emperor Phocas, in the year 610AD. This he did to spite Bishop Ciriacus of Constantinople, who had justly excommunicated him for his having caused the assassination of his predecessor emperor Mauritius. Gregory I, then bishop of Rome, refused the title, but his, successor, Boniface III, first assumed title "Pope." Jesus did not appoint Peter to the headship of the apostles and forbade any such notion. (Lk. 22:24-26;Eph.1:22-23;Col.1:18;lCor.3:11)... is there any mention in Scripture, nor in history, that Peter ever was in Rome, much less that he was pope there for 25 years; Clement, 3rd bishop of Rome, remarks that there is no real lst century evidence that Peter ever was in Rome."

11. The kissing of the Pope's feet began in 709AD. It had been a pagan custom to kiss the feet of emperors. The Word of God forbids such practices. (Read Acts 10:25-26; Rev. 19: 1 0; 22:9).

12. The Temporal power of the Popes began 750AD. When Pepin, the usurper of the throne of France, descended into Italy, called by Pope Stephen II, to war against the Italian Lombards, he defeated them and gave the city of Rome and surrounding territory to the pope. Jesus expressly forbade such a thing, and He himself refused worldly kingship. (Read Matt 4:8-9; 20:25-26; John 18:3.

13. Worship of cross, of images and relics was authorized in 788AD. This was by order of Dowager Empress Irene of Constantinople, who first caused to pluck the eyes of her own son, Constantine VI, and then called a church council at the request of Hadrian I, pope of Rome at that time.

14. Holy Water, mixed with a pinch of salt and blessed by the priest, was authorized in 850AD.

15. The veneration of St. Joseph began in 890AD.

16. The baptism of bells was instituted by Pope John XIV, in the year 965AD.

17. Canonization of dead saints, first by Pope John XV in 995AD. Every believer and follower of Christ is called saint in the Bible. (Read Rom, 1:7; I Cor. 1:2).

18. Fasting on Fridays and during Lent were imposed in the year 998AD.

Imposed by popes said to be interested in the commerce of fish. (Bull, or permit to eat meat), some authorities say, began in the year 7OOAD. This is against the plain teaching of the bible. (Read Matt.15:10 1Cor. 10:25; 1Tim.4:1-3).

19. The Mass was developed gradually as a sacrifice; attendance made obligatory in the 11th century. The Bible teaches that the sacrifice of Christ was offered once and for all, and not to be repeated, but only commerated in the Lord's Supper. (Read Heb.7:27; 9:26-28; 10: I 0- 14).

20. The celibacy of the priesthood was decreed by Pope Hildebrand, Boniface VII, in the year 1079AD. Jesus imposed no such rule, nor did any of the apostles. On the contrary, St. Peter was a married man, and St. Paul says that bishops were to have wife and children. (Read 1st Tim. 3:2,5, and 12: Matt 8:14-15).

21. The Rosary, or prayer beads was introduced by Peter the Hermit, in the year 1090AD. Copied from Hindus and Mohammedans 1090AD. The counting of prayers is a pagan practice and is expressly condemned by Christ (Matt 6:5-13).

22. The Inquisition of heretics was instituted by the Council of Verona in the year 1184. Jesus never taught the use of force to spread His religion ...1184AD.

23. The sale of Indulgence, commonly regarded as a purchase of forgiveness and a permit to indulge in sin, began in the year 1190AD. Christianity, as taught in the Bible, condemns such a traffic, and it was the protest against this traffic that brought on the Protestant Reformation in the 16th century.

24. The dogma of Transubstantiation was decreed by Pope Innocent III, in the year 1215AD. By this doctrine the priest pretends to perform a daily miracle by changing a wafer into the body of Christ, and then he pretends to eat Him alive in the presence of his people during Mass. The Bible condemns such absurdities; for the Lords Supper is simply a memorial of the sacrifice of Christ. The spiritual presence of Christ is implied in the Lord's Supper is simply a memorial of the sacrifice of Christ. The spiritual presence of Christ is implied in the Lord's Supper. (Read Luke 22:19-20; John 6:35; I Cor. 11:26).

25. Confession of sins to the priest at least once a year was instituted by Pope Innocent III, in the Lateran Council, in the year 1215AD. The Bible commands us to confess our sins direct to God. (Read Psalm. 51: 1 - 10; Luke 7:48; 15:21; John 1:8-9). 26. The adoration of the wafer (Host), was decreed by Pope Honorius in the year in 1220AD. So the Roman Church worships a God made by human hands. This is plain idolatry and absolutely contrary to the spirit of the Gospel. (Read John 4:24).

27. The Bible forbidden to laymen and placed in the Index of forbidden books by the Council of Valencia in 1229AD. Jesus commanded that the Scriptures should be read by all. (John5:39: lTim.3:15-17).

28. The Scapular was invented by Simon Stock, an English monk, in the year ... 1287AD. It is a piece of brown cloth, with the picture of the Virgin and supposed to contain supernatural virtue to protect from all dangers those who wear it on naked skin. It is fetishism.

29. The Roman Church forbade the cup to the laity, by instituting the communion of one kind in the Council of Constance n 1414AD. The Bible commands us to celebrate the Lord's Supper with unleavened bread and the fruit of the vine. (Read Matt. 26:27; I Cor. 11:26-29).

30. The doctrine of Purgatory was proclaimed as a dogma of faith by Council of Florence in 1439AD. There is not one word in the Bible that would teach the purgatory of priests. The blood of Jesus Christ cleanseth us from all sins. (Read I John 1:7-9; 2:1-2; John 5:24; Rom. 8: 1).

31. The doctrine of 7 Sacraments affirmed in 1439AD. The Bible says that Christ instituted only two ordinances, Baptism and the Lord's Supper. (Read Matt. 28:19-20; 26:26-2.

32. The Ave Maria, part of the last half in 1508AD. It was completed 50 years afterward and finally approved by Pope Sixths V, at the end of the 16th century.

33. The Council of Trent, held in the year 1545, declared that Tradition is of equal authority with the Bible 1545AD. By tradition is meant human teachings. The Pharisees believed the same way, and Jesus bitterly condemned them, for by teaching human tradition, they nullified the commandments of God. (Read Mark 7:7-13; Col. 2:8; Rev. 22:1.

34. The apocryphal books were added to the Bible also by the Council of Trent in 1546 These books were not recognized as canonical by the Jewish Church. (See Rev. 22:8-9).

35. The Creed of Pope Pius IV was imposed as the official creed 1560 years after Christ and the apostles, in 1560AD. True Christians retain the Holy Scriptures as their creed. Hence their creed is 1500 years older than the creed of Roman Catholics. (Read Gal. 1:.

36. The Immaculate Conception of the Virgin Mary was proclaimed by Pope Pius IX in the year 1854AD. The Bible states that all men, with the sole exception of Christ, are sinners. Mary herself had need of a Savior. (Read Rom. 3:23; 5:12; Psalm. 51:5; Luke 1:30,46,47).

37. In the year 1870 after Christ, Pope Pius IX proclaimed the dogma of Papal Infallibility 1870AD. This is a blasphemy and the sign of the apostasy and of the antichrist predicted by St. Paul. (Read II These. 2:2-12; Rev. 17:1-9; 13:5-8,1. Many Bible students see the number of the beast (Rev. 13:1. 666 in the Roman letters of the Pope's title: "VICARIVS FILLII DEI." -V.5, I-1; C-100, l-l: v-5, 1-1; L-50, 1-1; 1-1-Total, 666.

38. Pope Pius X, in the year 1907, condemned together with 'Modernish", all the discoveries of modern science which are not approved by the Church... 1907AD. Pius IX had done the same thing in the Syllabus of 1864.

39. In the year 1930 Pius XI, condemned the Public Schools ... 1930AD.

40. In the year 1931 the same pope Pius XI, reaffirmed the doctrine that Mary is "the Mother of God.... 1931AD. This doctrine was first invented by the Council of Ephesus in the year 431AD. . This is a heresy contrary by Mary's own words. (Read Luke 1:46-49; John 2:1-5).

41. In the year 1950 the last dogma was proclaimed by Pope Pius XII, the Assumption of the Virgin Mary ....1950AD

42. (Revelation 17:9)The Roman Catholic Church is the Woman of seven hills

Compton's Pictured Encyclopedia, 1948, Volume 12, page 144, also tells us about the city of seven hills.
...the "City of Seven Hills." ...the Capitoline, Palatine, Aventine, Quirinal, Viminal, Esquiline, and Caelian hills. ...the seat of the papacy, the head of the great Roman Catholic Church.

43 THE PAPACY 8th head of the beast

1Egypt
2Babylon(Lion)
3Medo-Persia (Bear)
4Greece (Leopard)
5 Pagan Rome
6 Empirial Rome
7 Papal Rome(little horn power see daniel) 538AD vigiluis 2 - 1870 AD
8 Vatican- 1929 Lateran treaty Under Mussolini ( The beast that received wound on the head but healed will to perdition)

12And, behold, I come quickly; and my reward is with me, to give every man according as his work shall be.

13I am Alpha and Omega, the beginning and the end, the first and the last.

14Blessed are they that do his commandments, that they may have right to the tree of life, and may enter in through the gates into the city.

7Behold, I come quickly: blessed is he that keepeth the sayings of the prophecy of this book.

7He that hath an ear, let him hear what the Spirit saith unto the churches; To him that overcometh will I give to eat of the tree of life, which is in the midst of the paradise of God.

(Copied from Lenox)

SASA KAMA WEWE NI CRITICAL THINKER, KWANINI USIANZIE NA UNAAMINI NINI?

DINI YEYOTE ISIYOFUATA BIBLIA SIYO WAKRISTO HATA KAMA WATAJIITA HIVYO!
 
HERE I MY REASONS WHY I AM NOT ROMAN CATHOLIC

SASA KAMA WEWE NI CRITICAL THINKER, KWANINI USIANZIE NA UNAAMINI NINI?

DINI YEYOTE ISIYOFUATA BIBLIA SIYO WAKRISTO HATA KAMA WATAJIITA HIVYO!

Ok nita-respond maandishi ambayo ni yako..kujibu maandishi ambayo si yako itakuwa upotezaji wa muda maana sitapata proper responses..Kama una swali lenye kuhitaji maelezo iga mfano wa mwenzako aliyeweka maswali yake kwenye post # 73, hivyo ndivyo msomi anatakiwa apange kazi yake..sio mambo ya hobelahobela kama ulivyofanya.

Ok, kuhusu Bible..nimeshatoa maelezo kwenye posts zilizopita kama hujasoma au hujaelewa au vyote viwili nasikitika sitorejea huko..mindhali nimeshaandika unaweza rejea huko na kusoma tena na tena..Hivyo basi maelezo yako ya kusema eti Kanisa Katoliki halifuati Biblia huo ni mtazamo wako..Nimeshasema kuwa Bible ni subset tu ya kile ambacho kinafundishwa na Kanisa .. na Bible ni muhtasari tu..nimeongelea hili tena na tena..lakini bado unarejea ku-recycle the same fallacious argument..
 
Last edited:
I like you! umesema kweli kabisa! so unataarifa kuwa nyie ndio wapinga kristo waliotabiriwa

Uktakajua vizurihil dhehebu lako soma kwa uangalifu

Calm down..

Mboni unatype haraka haraka kama umepagawa na pepo? Andika kwa utuo maana kuandika kwa kukosea ni dalili ya kukosa uangalifu kwenye mambo mengi na hata haya yahusuyo imani na kuwashutumu wengine kuwa eti sio kondoo wa Kristu.

Ok, kukufahamisha .ni hivi..sitorespond maelezo ya website, maana website ni one -way communication..hapa tunajadili..inaletwa hoja ..inajadiliwa ..thats how we are supposed to make an understanding..Kwa misingi hiyo basi any sane man hawezi aka-throw li-website usoni kwa mwingine na kutegemea mjadala uanzie hapo..

Nasikitika kuwa sitoweza kujadiliana kwa staili hiyo.
 
Mazingira said:
2. Imani ya kuomba kupitia watakatifu imeanzia wapi?

Nadhani hapa swali lako lilikuwa limelenga kwenye misingi ya suala zima la kuwaomba watakatifu. Kama hivyo ndivyo..logic itatupeleka kuhoji je kuomba ni dhambi? Je ktk maisha; tunaomba vingapi? Tunaomba mara ngapi? Tunaomba kwa nani? etc

Hoja hapa ni kuwa kimsingi kuomba si kosa (yaani kitendo chenyewe hakina matatizo) na ktk maisha ya kila siku tunaomba vitu na mambo tofauti kutoka kwa watu na Mungu; na tutaendelea kuomba mpaka siku kila mmoja wetu atakapoaga dunia ..kuomba ni kibinadamu maana kila mmoja wetu ana mahitaji yake ambayo kwa namna moja au nyingine huhitaji kusaidiwa. Hivyo suala la kuomba ni jema na si dhambi, na kama kuomba ni dhambi basi at least kila mmoja wetu anastahili kwenda jehanamu ya moto. ....hilo la kwanza.

Matatizo niyaonayo ktk kuomba ni kama ifuatavyo:
1. Kuomba vitu au mambo yasiyo ya heri.
2. Kuomba kwa kukufuru Mungu.
3. Kuomba bila heshima kwa yule anayeomba kwa anayeombwa.

Sasa ku-narrow down discussion ingefaa na wewe uongezee kwenye huu mjadala kwa kujibu swali lifuatalo:

Kuomba watakatifu kuna ubaya gani.?

Wakatabahu
 
Calm down..

Mboni unatype haraka haraka kama umepagawa na pepo? Andika kwa utuo maana kuandika kwa kukosea ni dalili ya kukosa uangalifu kwenye mambo mengi na hata haya yahusuyo imani na kuwashutumu wengine kuwa eti sio kondoo wa Kristu.

Ok, kukufahamisha .ni hivi..sitorespond maelezo ya website, maana website ni one -way communication..hapa tunajadili..inaletwa hoja ..inajadiliwa ..thats how we are supposed to make an understanding..Kwa misingi hiyo basi any sane man hawezi aka-throw li-website usoni kwa mwingine na kutegemea mjadala uanzie hapo..

Nasikitika kuwa sitoweza kujadiliana kwa staili hiyo.

Mmh...!Jamaa amesheheni chuki hadi basi!Hayo yapo mtandaoni tena mabaya zaidi ya hayo against RC.Na hiyo ni one's omn perspective!
Bado hajakuletea hoja Bw.Abdulhalim.....
Pia naomba kukukumbusha kuwa hajakwambia anasali wapi!

Zidi kumjuza huyo ndugu yetu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom