St MaryGoreti (Moshi) na utata wa udaili wa wavulana form 5 wahusika mwalifahamu hili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

St MaryGoreti (Moshi) na utata wa udaili wa wavulana form 5 wahusika mwalifahamu hili

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by networker, Jun 8, 2011.

 1. networker

  networker JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  St marygoreti ni kati ya shule zinazo sifika kwa wanafunzi wake kufahulu vizuri nawasifu kwa hilo.ila shule hii pia imesifika kwa kuwa ya wasichana pekee hadi walipo amua kuanzisha wavulana miaka ya karibuni na baadae kufuta udaili wa wavulana na kubaki wasichana pekee yao.shule hii ukifuatilia udaili kwa ajili ya wavulana watakuambia "hatufanyi udaili kwa wavulana tulisha acha kuchukuwa wavulana" hili nili liskia kwa maskio yangu mwenyewe bada ya kuwapigia simu shuleni hapo na kuongea na sista wa kidini aliye mapokezi shulei hapo mwaka huu nimefanaya utafiti usio rasmi juu ya shule hii kwa kutaka kujiunga kama mwanafunzi wa form 5 nika pewa jibu hilo hapo juu lakini chakushangaza kuna wavulana walio dailiwa kwa njia ambazo hazijaeleweka kumi na... lakini hawazidi 20 kwa form 5 mwaka huu .kwa mujibu wa respondents wa utafiti huu wame indicate kwamba wengi wame ingia kwanjia ya kujuana na undugu.je hawa wavulana kumi na... wametoka wapi wakati walisha acha kupokea wavulana
   
 2. Junior. Cux

  Junior. Cux JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 5,305
  Likes Received: 1,226
  Trophy Points: 280
  Wanachukua wavulana wachache wanaojua hawana effect kwa watoto wao wa kike, dat minz mpka wawe wanajua bakgrand yao
   
 3. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  udaili ndio nini help please....
   
 4. networker

  networker JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  udaili ni admission
   
 5. H

  Hardman JF-Expert Member

  #5
  Jun 8, 2011
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 597
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 60
  ı thınk thıs wıll brıng effect on those boys..nahıc watakuwa na swaga za kıke coz ndo mazıngıra walonayo
   
 6. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #6
  Jun 8, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  st. halafu hawapo transparent? pole ndugu, achana nao, skuli zipo bwerere tu
   
 7. w

  wyclefmore Member

  #7
  Jun 8, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wahuni tu-wanadanganya huku wamevaa misalaba shame upon them.
   
 8. M

  Makupa JF-Expert Member

  #8
  Jun 9, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Ni vizuri ungefuatilia shule amabazo zinamilikiwa na Bakwata kuliko kutukana naamini unahisia za uwivu zaidi .
   
 9. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #9
  Jun 9, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hilo nalo neno
   
Loading...