St.John University imefungwa baada ya kutokea vurugu kisa pesa za bodi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

St.John University imefungwa baada ya kutokea vurugu kisa pesa za bodi

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Nyadunga, Dec 21, 2011.

 1. N

  Nyadunga Member

  #1
  Dec 21, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 98
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 25
  Ndugu wana JF nimepata taarifa chuo kikuu cha st.john kimefungwa ghafla baada ya wan. kushinikiza walipewe pesa zao za kujikimu. Kwa taarifa iliyotolewa hapo kinasema wanafunzi wanaoishi hosteli wamepewa masaa manne waondoke ndani ya mabweni. had i tarehe 2.
   
 2. k

  kipinduka Senior Member

  #2
  Dec 21, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakome hii ndio tz
   
Loading...