St john dodoma [sjut] | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

St john dodoma [sjut]

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by bob nasta, Nov 2, 2011.

 1. b

  bob nasta Member

  #1
  Nov 2, 2011
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 69
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 25
  Naomba msaada kama kuna anayefahamu zaidi kuhusu chuo hiki [SJUT ] yaani elimu inayotolewa
  kwa kifupi nikifananishe na chuo gani kwa ubora au kwa ubaya
   
 2. Mess

  Mess JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2011
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 667
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Na madrasat.
   
 3. nyambari

  nyambari JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 324
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Huo ugomvi sasa wakuu
   
 4. CR wa PROB

  CR wa PROB Senior Member

  #4
  Nov 2, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 170
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni miongoni mwa vyuo vikuuu 13 kama sikosei ambavyo vimefikia stage ya mwisho ya usajili hapa Nchini, so kwa case ya private university nadhani ni hichohicho kimoja na kwa kusoma ni kizuri kwani hakina ushindi wa mezani kama baadhi ya vyuo vingine vya privates ambavyo kwa mwaka mzima hakuna hata mwanafunzi mmoja ambaye anadisco!!! huku ni kitu ambacho hakiwezekani,

  Mimi sio mwanafunzi wa hapo msijemkasema nimekifagilia bure.
   
 5. H

  HAMY-D JF-Expert Member

  #5
  Nov 2, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 6,825
  Likes Received: 709
  Trophy Points: 280
  bwa mdogo acha uoga naona umekipigia debe vya kutosha hicho chuo ila all in all vyuo vyote ni sawa cha msingi ni wewe kuwa compitent.
   
 6. CR wa PROB

  CR wa PROB Senior Member

  #6
  Nov 2, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 170
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni mtizamo wako mkuuu, ila kwa uelewa wangu mdogo najua ni chuo pekee na st Joseph ambavyo vimefanyiwa accreditation kwenye hivi vyuo vya privates. Nirudie tena kuwa mimi msio mwanafunzi wa hapo na sina hapa mpango wa kujiunga nao kwa njia yeyote ile
   
 7. nyambari

  nyambari JF-Expert Member

  #7
  Nov 3, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 324
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Ina maana vingine vyia private haviko accredited @cr wa prob?
   
Loading...