Mkuu nipe mbinu ulizotumia I seee...ikiwezekana ni inbox ili majamaa ya PPF yasije kusoma bandiko hiloWAKUU NIMEPONEA KWENYE TUNDU LA SINDANO NIMEPATA HELA YANGU THANKS GOD DUHH SIAMINI
Ni PPF peke yake, wengine wanaendelea kutoa pesa kama kawaida.Hivi hiyo sheria ipo kwa mifuko yote au ni huu mfuko wa kidwanzi PPF?
Najutaaaaaaaa kwann nilichagua mwajili wangu aniweke pesa zangu kwenye hili limfuko la laana PPF. hata nikiona majengo yao ya PPF hua nakasilika sana. Si mshauri mtu anayeanza kazi kujiunga n mfuko huu wa kifilauniNi PPF peke yake, wengine wanaendelea kutoa pesa kama kawaida.
Mie nimechukua yangu majuzi tu mwanzoni mwa mei pale LAPF, naona ina'apply kwa PPFInaonyesha ni PPF tu sina hakika huko kwingine
Heeee inabisi ipelekwa bungeni haraka sana!! Haiwezekani...na haitawezekana!! Hela zetu lazima zitolewe!! Hakuna jinsi watu wanaachishw kazi kila siku wanategemea nini?? Wataishije? Na hawajafika umri au muda wa kuwa pensionable?? Haiwezekaniii[/QUOTE
Bunge utamkuba BIBI BOMBA siamini kama Hoja yako itakubalika.....Chamuhimu nikuisoma namba tu!
Mfumo wa DAS ndio upi!?Mrejesho!
Nilirudisha fomu zangu tar 16/5/2016 a week later nikasikia wamefunga milango tangu tar 11/09/2016 niliporudi tarahe walioniamba nirudi nikaambiwa kuwa kwa kuwa fomu yangu ilipokelewa baada ya deadline na haitashughulikiwa, hivyo wataniandikia barua. What I told them ni kuwa waharakishe kuniandikia maana nihitaji barua sana.
Nikapiga sim Customer Care wakaniambia nipige 6 days later kwa ajili ya mrejesho. nikapiga tene sim FFF HQ wakaniambia fomu zangu hazitaweza kufanyiwa kazi. (Nikagundua hawana coordination juu ya suala hili, kila mtu ana jibu lake). Nikaamua kuwa mpole mpaka tarehe waliyoniambia customer care niulizie, nikawapigia wakaniambia tayari faili kangu liko uhasibu na huenda hundi ikawa tayari kesho yake (yaani alhamisi ya wiki iliyopita) na kupata fedha zangu Jumatatu leo (06/6/2016). Nilipoangalia salio Jumamosi asubuhi nikafikiri account imekosewa kwa kuona tarakimu zimebadilika tayari. Plus interest ya 16%. Thank God nimepata changu.
Nilijifunza kuwa baada ya kuwa wamepokea fomu zote nadhani wanataka kufanya malipo kwa fomu zote zilizo mikononi mwao halafu waendelee na msimamo ili kuondoa possible legal conflicts, Hawakuwa wamejiandaa juu ya suala hili (taarifa ziliwafikia watu wa matawi late) kama ni kweli wana mpangi wa kuzuiya fao hili, kingine ni kuwa Kama ulijiandikisha kwa mfumo wa DAS, una haki ya kupata fedha zako, kwani mfumo huu ni kwa wale walio na umri zaidi ya 45 wakati unajiunga au foreigners!. so kuna baadhi yetu tulisajiliwa katika Mfumo huo na tukawa tuna Haki ya kujitoa na hata wewe unahaki ya kujitoa.... wakikunyima Fomu fomu zipo kwenye mtandao (Hizi hapa http://www.ppftz.org/home/common/uploads/forms/withdrawal.pdf
Kila la Heri
Mfumo wa DAS ndio upi!?
Haaaaaa hongera aisee kwahiyo na mimi naweza jaza form zangu nikapeleka kibabe? Wasipopoppkea unawaachia kwa nguvu ehee naombeni ushauri hapoMrejesho!
Nilirudisha fomu zangu tar 16/5/2016 a week later nikasikia wamefunga milango tangu tar 11/09/2016 niliporudi tarahe walioniamba nirudi nikaambiwa kuwa kwa kuwa fomu yangu ilipokelewa baada ya deadline na haitashughulikiwa, hivyo wataniandikia barua. What I told them ni kuwa waharakishe kuniandikia maana nihitaji barua sana.
Nikapiga sim Customer Care wakaniambia nipige 6 days later kwa ajili ya mrejesho. nikapiga tene sim FFF HQ wakaniambia fomu zangu hazitaweza kufanyiwa kazi. (Nikagundua hawana coordination juu ya suala hili, kila mtu ana jibu lake). Nikaamua kuwa mpole mpaka tarehe waliyoniambia customer care niulizie, nikawapigia wakaniambia tayari faili kangu liko uhasibu na huenda hundi ikawa tayari kesho yake (yaani alhamisi ya wiki iliyopita) na kupata fedha zangu Jumatatu leo (06/6/2016). Nilipoangalia salio Jumamosi asubuhi nikafikiri account imekosewa kwa kuona tarakimu zimebadilika tayari. Plus interest ya 16%. Thank God nimepata changu.
Nilijifunza kuwa baada ya kuwa wamepokea fomu zote nadhani wanataka kufanya malipo kwa fomu zote zilizo mikononi mwao halafu waendelee na msimamo ili kuondoa possible legal conflicts, Hawakuwa wamejiandaa juu ya suala hili (taarifa ziliwafikia watu wa matawi late) kama ni kweli wana mpangi wa kuzuiya fao hili, kingine ni kuwa Kama ulijiandikisha kwa mfumo wa DAS, una haki ya kupata fedha zako, kwani mfumo huu ni kwa wale walio na umri zaidi ya 45 wakati unajiunga au foreigners!. so kuna baadhi yetu tulisajiliwa katika Mfumo huo na tukawa tuna Haki ya kujitoa na hata wewe unahaki ya kujitoa.... wakikunyima Fomu fomu zipo kwenye mtandao (Hizi hapa http://www.ppftz.org/home/common/uploads/forms/withdrawal.pdf
Kila la Heri
Pia GEPF wameanza huo mchezo, watanzania tushikamane katika hili.
Mana haiwezekani watu wakachezea jasho la mtu kirahisi namna hiyo.
Tunamuomba Rais afatilie utendaji wa hii mifuko pia SSRA.
Mana ni kama wanapima upepo kwa michezo yao michafu wanayotaka kuanza.
Hao jamaa kweli wamebugi saana najaribu tazama uwekezaji wa majengo mjini Arusha pana tower mbili za NSSF hadi leo wapangaji bado wa kusuasua...almost 70% ya jengo lipo tupu...Ni kweli nimepiga call center ya PPF wanasema ni kweli....hawana taarifa rasmi kwa sasa....!! Ila wamesitisha!!hii vita mpya wanaianzisha na wastaafu....na waliopunguzwa makazini! Sasa watajiajirije?? Hela zinapotea bure? Wame inevst miradi hew sasa wanaadhibu wanachama!! Hapana haiwezekani!!!!au ndio wanahamisha attention ili Lugumi ipite??
yes! my colleague alofanya hivyo akalipwa on the same day na mm tena yeye alipeleka tar 25Haaaaaa hongera aisee kwahiyo na mimi naweza jaza form zangu nikapeleka kibabe? Wasipopoppkea unawaachia kwa nguvu ehee naombeni ushauri hapo
Ebwana Vp Ulivyofwatilia Mkuu imekuaje maana me pia Nawadai hawa Wadhulumishi Haki Yangu Nimefanya kazi miaka 4 nimeenda pale wanasema mpaka nizeeke washenzi kwl hawa!Kuna Mrejesho wowote Wakuu? Binafsi kesho ntaamkia Ofisi za PPF Northern Zone hapa Arusha kufuatilia kwa kina yepi yanajiri.... Alamsik