SSRA walipa pango bilioni 600 kwa mwaka (Gazeti la Mtanzania)

Status
Not open for further replies.
Yaaah kla sku ni majpu mapya tena yameiva balaaa.
Hii nchi kuisafsha inahtaji wengne wanyongwe kabsa wapotee...labda ndo itatakata.
 
Kwanini wasingepanga kwenye moja ya majengo ya taasisi zilizo chini yake?
 
Hata kwenye kampeni naskia wakurugenzi wa hayo mashirika walimchangia kumbe jengo ni la EDO
 
What??? ina mana wanalipa 50bil kwa mwezi? huu ni wizi mkubwa sana kuwahi kutokea, CAG asogeee hapo haraka sana, hili jipu haliitaji kutumbuliwa bali kukata kiungo kizima.
Hakuna kitu kama hicho... Huo ni uzushi
 
Ngoja nivae miwani kwanza nione vizur. .. hivi ni laki sita au milion sita iyo figure? ?
 
Hii ndio product ya waandishi wa voda fasta, cha kushangaza waandishi kama hawa wanatakiwa kutumbuliwa na vyama vyao wenyewe kwa sababu madhara wanayosababisha kwa watu ni makubwa, lakini wamekuwa wakitetewa kila siku na vyama vyao bila kuangalia uwezo wao kitaaluma na kimaadili.
 
Hii figure itakuwa imekosewa. Hii ni 0.6 trillion ambayo ni sawa na 2.86% ya bajeti nzima ya nchi kwa mwaka 2015/16. Hata bunge la wala rushwa haliwezi kupitisha kiasi hiki cha fedha kwa ajili ya pango tu.
 
Tangu utokee ule mvutano wa "fao la kujitoa" na hawa jamaa kugeuka kuwa "madalali" wa mifuko ya jamii badala ya regulators,sijawahi kuwaamini tena!
 
Hao SSRA sijawahi kuwasikia kazi zao ni nini hasa? bajeti yao kwa mwaka ni sh ngapi? nahisi kudanganywa.
 
....KUPANGA JENGO KWA 600 BILLION KWA MWAKA!?....
*HAPA PANA MCHEZO MCHAFU.
NCHI HII ..........(VIGOGO WANAIUWA)
 
Billion 600? Sio kweli bhana... ama mleta mada au hao Mtanzania wamedanganya!!
 
Labda ni kiasi gani kinaweza kuwa sahihi, milioni 6 kwa mwaka? milioni 60 kwa mwaka? milioni 600 kwa mwaka au bilioni 600? Namba tatu kati ya hizo hazisikiki vizuri (zinaumiza masikio). Ambayo inaweza kuwa sahihi ni milioni 60 kwa mwaka. Ila kama NI KWELI bilioni 600 siyo tu watendaji wakuu wa ofisi hiyo wanatakiwa watiwe pingu bali hadi mamesenja na familia zao wote inabidi watiwe pingu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom