Nashengena
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,792
- 5,111
Hii ndio Tanzania.
=================
KAMATI YA BUNGE YAITAKA SSRA KUJENGA JENGO LAO
Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria imetoa mapendekezo kwa mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), kuharakisha mchakakato wa ujenzi wa jengo la kudumu la mamlaka hiyo ili kuokoa Sh.billioni 600 wanazolipa kila mwaka.
Chanzo: Mtanzania
============
UPDATE: 08, April 2016.
TAARIFA HII ILIKOSEWA AWALI.. IMECHAPISHWA UPYA KWA MASAHIHISHO HAYA (Milioni 600);