Asante kwa ushauri sina account huko sijui naweza pata link ambayo naweza kupata vioande vya kingereza?
Ingia netnaija utaikuta English na subtitles zake
duuuh mbna mie cjaiona yenye subtittle boss ?Ingia netnaija utaikuta English na subtitles zake
Kama unatumia netnaija kuna option ya kudownload subtitles pale chini na piah kama unatumia VLC kuna option ya kuchange languageduuuh mbna mie cjaiona yenye subtittle boss ?
Nenda telegram hutojuta, subtittle zipoVipi mnao fuatilia hii series je kuna vipande vya kingereza mnipi link nivipakue?
@koreandramasworldVipi mnao fuatilia hii series je kuna vipande vya kingereza mnipi link nivipakue?