salaam forum.
nina software ambayo inauwezo wa kukutumia mambo yanayo fanyika katika computer yako hata kama umesafiri itakutumia kila kitu kilicho angaliwa kwenye computer yako.
unaweza kutumia hata kupata email password ya mtu au kumonitor watoto.