Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kiongozi tukikubaliana ninaweza kukutumia!ila nilizo nazo zina 2GBnaihitaji namimi kiongozi! nitaipataje nipo mkoa!
Zina bastola?
Ni nzuri sana kwa kazi za investigative journalism!
jaman sio kila mtu anahitaji hiz pen,
ila unaweza inunua ukamwekea waifu kwenye gari kisirsir ujua watu wanaommendea
kiongozi tukikubaliana ninaweza kukutumia!ila nilizo nazo zina 2GB
jaman sio kila mtu anahitaji hiz pen,
ila unaweza inunua ukamwekea waifu kwenye gari kisirsir ujua watu wanaommendea
sio kitu cha ajabu siku hizi, kuna pen, kuna saa, kuna miwani etc zenye camera..china zimejaa kibao na zinauzwa kama njungu na wamachinga wa huko!
mkuu si unajua tena gharama zinaendana na wapi unachukua mzigo!!!!Najua hizi kalamu zipo saa pia ,kwanini laki na hamsini na ni zan nchi gani ?