Spy Master wa Mossad astaafu aacha alama kubwa dhidi ya Iran

Anabaki mshauri tu wenzetu wanafanya succession plan kwa vitendo mpaka anaamua kuondoka anajua kijana wake kaiva kwelikweli
... Wakati shitholes mwalimu anarithiwa na mwanafunzi dhaifu kulinda legacy; kwa wenzetu it's a prestige kuwa succeeded na mwanafunzi aliyeiva kuliko wewe mwalimu wake. Kwa utaratibu huu kwanini wasitoboe?

Joshua mwanafunzi wa Musa na Haruni alikuwa master kuliko walimu wake. Elisha alikuwa "nuksi" kuliko Elia his teacher. And that culture goes on vizazi kwa vizazi.
 
... Ukisikia legacy ndio hiyo! Sio legacy za nileteeni Gwajima! Ukiona legacy za kuwageuka na kuwala wanachi wako mwenyewe huo ni upumbavu.
jamaa ana jina exactly kama eli Cohen Spy aliyeuawa Syria ila ndiye aliyetoa ramani za vifaru vya Syria kupigwa wakati wa Six day war
 
... Wakati shitholes mwalimu anarithiwa na mwanafunzi dhaifu kulinda legacy; kwa wenzetu it's a prestige kuwa succeeded na mwanafunzi aliyeiva kuliko wewe mwalimu wake. Kwa utaratibu huu kwanini wasitoboe?

Joshua mwanafunzi wa Musa na Haruni alikuwa master kuliko walimu wake. Elisha alikuwa "nuksi" kuliko Elia his teacher. And that culture goes on vizazi kwa vizazi.
well said mkuu Joshua na Caleb waliwa-outsmart wenzao 10
 
Back
Top Bottom