Sputnik V’s effectiveness for HIV-positives revealed

enzo1988

JF-Expert Member
May 26, 2018
707
2,736
Taarifa zinasema kuwa chanjo ya Corona kutoka Urusi (Sputnik V) zinaweza kukupa kinga dhidi ya kirusi cha H.I.V kwa asilimia sabini na tisa (79%)!!!!. Hapa Condom haina ujanja tena, Serikali tuleteeni hii chanjo haraka iwezekanavyo ili yale mambo yetu yawe bila nailoni kwani tumechoka kutumia.

=======

Sputnik V’s effectiveness for HIV-positives revealed​

The results of the survey published in world-leading medical journal The Lancet shows the Russian vaccine is 79% effective

Russia’s Sputnik V vaccine against Covid-19 has shown the efficacy of 79% in HIV-positive patients, a study, published in prestigious medical journal The Lancet, has revealed.

More than 24,000 HIV-positive people, receiving antiretroviral therapy (ART) in the Russian capital, have taken part in the research by the Gamaleya Center, which developed the jab, and the Moscow City Center for AIDS Prevention and Control.

“Sputnik V’s efficacy was 79%” in people living with HIV (PLHIV), the Russian Direct Investment Fund (RDIF), which bankrolled the development of the vaccine and now oversees its international distribution, said in a statement.

According to the paper, the Russian jab also turned out to be more than 90% effective against hospitalization and 97% effective against development of moderate or severe coronavirus cases among the HIV-positive, it added.

Last year, the World Health Organization (WHO) had sounded the alarm over the danger of Covid-19 to PLHIVs, including higher risk of harsh cases and an increased mortality rate.

More than 23% of such patients who ended up in hospital have died, according to the WHO.

The fresh study has made Sputnik V the world’s first jab against coronavirus with a proven efficacy for HIV-positive people, the RDIF pointed out, calling the Russian vaccine “the ultimate solution for vulnerable groups.”

Source:
Russia Today
 
Kama kweli hiyo chanjo inauwezo huo kama ilivyoelezwa hapo nakuapia haitakanyaga huku Africa maana inaweza kuharibu miradi ya watu ya kuuza ARVs.. maana hiyo ni miradi ya mabepari wakishitikiana na viongozi wa serikari za ki Africa..
 
hapa ni mwaga mboga nimwage ugali,inaonekana HIV ni mradi wa wakubwa ulaya magharibi na bwana wao u.s.a sasa kwa kuwa wamemuudhi putin ambaye aliamua kuwa kipofu ili mambo yaende lakn sasa wameshindwa kula na kipofu basi ataweka mengi wazi.na hapo ndo atatusaidia kutoka kwenye huu mtego wa magharbi japo ukijaribu kuwa kuonyesha unamuunga PUTIN utapigwa vikwazo hata vya kukuzuia kulala na mkeo
 
Naona wameamua kusema ivo ili warusi wachome mana wameigomea kama bongo tu hahah wengine wameamua kuchoma ya wachina but nawaza why WHO haikuapprove hii chanjo inaweza ikawa chanjo nzuri sana sema Who wametisha watu
 
Taarifa zinasema kuwa chanjo ya Corona kutoka Urusi (Sputnik V) zinaweza kukupa kinga dhidi ya kirusi cha H.I.V kwa asilimia sabini na tisa (79%)!!!!. Hapa Condom haina ujanja tena, Serikali tuleteeni hii chanjo haraka iwezekanavyo ili yale mambo yetu yawe bila nailoni kwani tumechoka kutumia.

=======

Sputnik V’s effectiveness for HIV-positives revealed​

The results of the survey published in world-leading medical journal The Lancet shows the Russian vaccine is 79% effective

Russia’s Sputnik V vaccine against Covid-19 has shown the efficacy of 79% in HIV-positive patients, a study, published in prestigious medical journal The Lancet, has revealed.

More than 24,000 HIV-positive people, receiving antiretroviral therapy (ART) in the Russian capital, have taken part in the research by the Gamaleya Center, which developed the jab, and the Moscow City Center for AIDS Prevention and Control.

“Sputnik V’s efficacy was 79%” in people living with HIV (PLHIV), the Russian Direct Investment Fund (RDIF), which bankrolled the development of the vaccine and now oversees its international distribution, said in a statement.

According to the paper, the Russian jab also turned out to be more than 90% effective against hospitalization and 97% effective against development of moderate or severe coronavirus cases among the HIV-positive, it added.

Last year, the World Health Organization (WHO) had sounded the alarm over the danger of Covid-19 to PLHIVs, including higher risk of harsh cases and an increased mortality rate.

More than 23% of such patients who ended up in hospital have died, according to the WHO.

The fresh study has made Sputnik V the world’s first jab against coronavirus with a proven efficacy for HIV-positive people, the RDIF pointed out, calling the Russian vaccine “the ultimate solution for vulnerable groups.”

Source:
Russia Today
Umepotosha mzee...... Seems hujaelewa vizuri au umepotosha kwa makusudi.
Kinachoongelewa hapa ni ufanisi wa hivyo chanjo ya Sputnik V kuzuia maambukizi makali ya COVID kwa watu ambao wana maambukizi ya HIV.
Ndio maana hiyo study ilifanyika kwa watu ambao tayari wana maambukizi ya HIV kuangalia kama inawasaidia kuwakinga na maambukizi makali ya corona, na ikaonekana ina ufanisi wa asilimia 79 kuwakinga na corona watu wanaoishi na HIV.
Kumbuka kuwa hiyo study imefanyika kwa watu ambao tayari wana maambukizi ya HIV (Soma kwa umakini hayo maelezo); Kwa hiyo there is no way ikawa kuwa hiyo study ilikua inaangalia ufanisi wa Sputnik kuzuia maambukizi ya HIV (Ingekua ni hivyo maana yake study ingefanyika kwa watu ambao hawana maambukizi ya HIV)

Moderators badilini kichwa cha habari cha huu uzi, kinapotosha

Invisible
 
Back
Top Bottom