Spray gani nzuri ya kiume

Bei gani?
Now natumia spray yake ni kaki tu!
DSC_0118.JPG
 
Kuna Spray nyingine mtu akitumia hadi unaskia kama ubongo una shake kwenye kichwa ina harufu kaliii,

Nataka spray ambayo ni smooooth yaani ukijipulizia husumbui watu wengine walio karibu yako
tafuta spray yaitwa 'every one' iko soft sana tamu balaa mi ni mbovu sana na harufu za ajabu ajabu za mipafyumu na masprei huwa kichwa kinauma sana,ila kwa every one mzee baba nimekaa only buku 3500-5000.kutegemeana na sehemu ulipo
IMG_20181208_105314.jpg
 
Back
Top Bottom