Spotify rasmi Afrika Mashariki

isajorsergio

Platinum Member
Apr 22, 2018
4,125
6,250
Sasa ni rasmi Spotify inapatikana Tanzania na Afrika Mashariki.

Baada ya miaka kadhaa wapenzi wa muziki na maudhui ya sauti, waliokiwa wakisubiri kwa hamu ujio wa Spotify Afrika na Afrika Mashariki sasa ipo huru kutumika.

Spotify Afrika inapatikana mataifa yafuatayo Algeria, Botswana, Burkina Faso, Cape Verde, Masr, Gambia, Ghana, Guinea-Bissau, Kenya, Lesotho, Liberia, Malawi, Mali, Morocco, Namibia, Niger, Nigeria, São Tomé and Príncipe, Senegal, Seychelles, Sierra Leone, South Africa, Tanzania, Tunisia, Uganda.

Listening now Fireboy DML vibration
BluCess Shot357.jpg
 
nauliza ?? hakuna payments zozote kwa app hii.. yasije yakawa kama ya apple music
Utaanza kwa siku 14 bure! Kisha utaweza kulipia packages zifutazo;-

• Premium Individual | 6,900
• Premium Student | 3,500
• Premium Duo | 8,900
• Premium Family | 109,000
• Premium Prepaid | 7,590

Kwa mwezi.
 
Bando lenyewe utata acha tujikite kwa www.djmwanga.com tunashusha pini buree
Urudufu wa kazi za wasanii ni kinyume na sheria za nchi na sheria za kimataifa. Matumizi ya kazi zisizo halisi zinaangusha uchumi wa wasanii, watayarishaji, wawekezaji na serikali kupitia kodi.

Kwa sheria utaweza kwenda jela miaka 3 hadi 7 na kulipa faini baina ya million 3 hadi billioni 1.4 | Tumia kazi halisi kukuza sanaa, vipato vya waandaaji na kodi kwa mamlaka.
 
Nilipe Luku, Dawasco, Maji taka, king'amuzi, michango ya harusi, misiba, vicoba, sadaka, fine za Barabarani.

Aaagh wapi acha tufungwe tu. Wasanii wenyewe wanaimba matusi
 
Africa / Tanzania kwa ujumla kupenda freebies ni culture..., kwahio kama kuna uwezo wa mtu kupata bure...., unajua what will happen
 
Nilipe Luku, Dawasco, Maji taka, king'amuzi, michango ya harusi, misiba, vicoba, sadaka, fine za Barabarani.

Aaagh wapi acha tufungwe tu. Wasanii wenyewe wanaimba matusi
Unatakiwa kulipia starehe yako kiongozi. Kma huwezi we fanya unachoweza huko ila usikitangaze hadharani maana sikuhz ni noma unaweza pewa kesi hvi hvi wakatumia hchi kitu kukufunga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom