sports rims nzur kwa sedan

Rwazi1

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2013
Messages
497
Points
500

Rwazi1

JF-Expert Member
Joined May 3, 2013
497 500
Anayejua au kuuza sports rims anijuze. Gari yangu ni lexus gs300 (sedan au saloon). na kwa sasa imevaa rims za size 235/45/17. Lakin naona kama hazijai lile tundu la body. Anayejua size bora zaid anijuze. Ziwe aluminium. Napenda nafasi kidogo kat ya tair na body
 

Forum statistics

Threads 1,364,486
Members 520,742
Posts 33,318,025
Top