Niimekuwa nikifuatilia kipindi cha michezo cha Wasafi redio baada ya kuondoka kwa Mkuu wa idara ya michezo ya WASAFI Redio Maulid wa Kitenge kutokana na mapenzi niliyokuwa nayo na Redio hiyo hasa kutokana na kuleta hamasa za kufa mtu kwa redio nyingine za zamani lakini ninachoambulia sasa ni uswahili na upungufu mkubwa wa usimamizi wa matangazo na jinsi kipindi kinavyoendeshwa na huyu aliyechukua nafasi ya Maulid wa kitenge nadhani anaitwa Yusuph Mkule Aisee jamaa ni mswahili kupitiliza na very unprofessional.
kwa mfano leo asubuhi kipindi karibia choote walikuwa wamemualika Haji manara (zero brain) badala ya kuongelea mechi yao ya Jumapili wakaishia katika taarabu na maneno ya kwenye khanga Weredi kama akina Eduo Kumwembe ilibidi kukikimbia kipindi hadi baadae baada ya Haji kuondoka