Sports Arena WASAFI Redio: Kipindi kimepoteza weledi baada ya kuondoka kwa Maulid Kitenge

kasenene

JF-Expert Member
Jun 6, 2008
1,578
2,000
Niimekuwa nikifuatilia kipindi cha michezo cha Wasafi redio baada ya kuondoka kwa Mkuu wa idara ya michezo ya WASAFI Redio Maulid wa Kitenge kutokana na mapenzi niliyokuwa nayo na Redio hiyo hasa kutokana na kuleta hamasa za kufa mtu kwa redio nyingine za zamani lakini ninachoambulia sasa ni uswahili na upungufu mkubwa wa usimamizi wa matangazo na jinsi kipindi kinavyoendeshwa na huyu aliyechukua nafasi ya Maulid wa kitenge nadhani anaitwa Yusuph Mkule Aisee jamaa ni mswahili kupitiliza na very unprofessional.

kwa mfano leo asubuhi kipindi karibia choote walikuwa wamemualika Haji manara (zero brain) badala ya kuongelea mechi yao ya Jumapili wakaishia katika taarabu na maneno ya kwenye khanga Weredi kama akina Eduo Kumwembe ilibidi kukikimbia kipindi hadi baadae baada ya Haji kuondoka
 
Mtafiti77

JF-Expert Member
Oct 31, 2011
1,530
2,000
Hapa unaweza kuwa na hoja. Lakini umeshindwa kuiwakilisha. Unajadili huku unaonesha wazi kuwa hizo ni hisia zako. Hata huyo mwingine, bado ni hisia zako tu zinakutuma umuone, uonavyo. Weka kando hisia, chambua tuone ubaya na uzuri wa Kitenge na huyo mpya. Wala hutopungua mahali.
 
1954

JF-Expert Member
Nov 14, 2006
9,566
2,000
Yaani hata Mimi nimekiacha... matangazo kibao... uchambuzi wa kitoto...eti swali linaulizwa. Kwa hiyo kwa usajili huu mtawapiga nyingi hao... stupid question..
 
kasenene

JF-Expert Member
Jun 6, 2008
1,578
2,000
NIKAJUA UNA HOJA KUMBE UMEWEKA MBELE MAHABA.

Radio za kusikiliza ni nyingi mkuu sio lazima wasafi
Kama hujaona hoja basi utakuwa una matatizo mengi...ngoja muone redio yenu inavyoshuka kwa kasi ndio pengine kwa mbali akili zitakurudia
 
G.Man

JF-Expert Member
Feb 9, 2014
963
1,000
Dah washabiki wakibongo bwana, ungesema wamemuachia Manara uhuru mkubwa zaid ya ilivyopaswa angalau, na ni vile huyo jamaa ana maneno sana na kumzimia mic sio ustaarabu as long as Haongei matusi, isitoshe kauli tatanishi always ndo content sasa za media, ndo maana wanahabari wanapenda kuchokoza sana chanzo ili kukujaza upepo ufunguke. Ni kweli wanamatatizo yao lakini ulichokiweka hapa na wewe ni ushabiki wako tu
 
malela.nc

Senior Member
Nov 24, 2013
180
250
Si kipindi hicho tu, bali vipindi vyote vya wasafi fm vinaboa na matangazo mengi. Kama mimi ni mpenzi wa Goodmorning lakini kimenichosha na matangazo, yamekua mengi mnoo.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
redio

JF-Expert Member
Aug 27, 2016
2,694
2,000
Wewe Kama wasafi unawaona unprofessional redio zipo nyingi tune station nyingine zenye watangazaji professional. Ukiona uridhiki na wasafi fm na bado unawafuatilia ujue unashida kichwani.
 
joseph1989

JF-Expert Member
May 4, 2014
8,101
2,000
Niimekuwa nikifuatilia kipindi cha michezo cha Wasafi redio baada ya kuondoka kwa Mkuu wa idara ya michezo ya WASAFI Redio Maulid wa Kitenge kutokana na mapenzi niliyokuwa nayo na Redio hiyo hasa kutokana na kuleta hamasa za kufa mtu kwa redio nyingine za zamani lakini ninachoambulia sasa ni uswahili na upungufu mkubwa wa usimamizi wa matangazo na jinsi kipindi kinavyoendeshwa na huyu aliyechukua nafasi ya Maulid wa kitenge nadhani anaitwa Yusuph Mkule Aisee jamaa ni mswahili kupitiliza na very unprofessional. kwa mfano leo asubuhi kipindi karibia choote walikuwa wamemualika Haji manara (zero brain) badala ya kuongelea mechi yao ya Jumapili wakaishia katika taarabu na maneno ya kwenye khanga Weredi kama akina Eduo Kumwembe ilibidi kukikimbia kipindi hadi baadae baada ya Haji kuondoka
Simba siku hizi nyinyi ndio mmekuwa Malalamiko FC,halafu mnalalamika kwa mtu kama Manara ambaye huu upuuzi alioufanya leo, mlikuwa mnasifia sana kipindi akiufanya akiwa na Simba sasa nitashangaa kama Simba mkilalamika wakati nyinyi mlikubali sana Manara na kulea ujinga.

Halafu na kwambia kitu maswali aliyo ulizwa Manara na Wasafi ni hayo hayo atakayoulizwa na EFM, Clouds na redio nyingine na Manara atajibu hivyo hivyo kama alivyo jibu akiwa Wasafi.

Mimi Manara si mkubali tokea zamani, ila kaa ukijua anachokifanya leo akiwa Yanga na Jana alivyokuwa Simba ni kilekile.
 
Ninachopingana hapa ni kuhusu weredi wa kazi wa mtangazaji jinsi ya kuendesha kipindi na sio upupu anaozungumza Manara...Huwezi kutumia 80% ya kipindi choote ukizungumza na mtu mmoja tena mtu ambaye ni limbukeni na mpumbavu kama yule tena kwa kumuuliza "leading questions"
 
Mbona hii sio mara kile kipindi kilikuwa special kwa ajili ya Manara na Yanga.

Halafu hivi alikuwa anafanya kipindi cha Nyuma Simba akiwa na game za kimataifa unaweza ukakuta 90% chote ni Manara na Simba na karibia radio zote walikuwa wanafanya hivyo hivyo, kijana msimchukie huyo mmemkuza na kumlea wenyewe, mlikuwa mnamuona wa maana kisa anaikera Yanga,vumilieni tu kama yanga.
 
aloycethepr

Member
Feb 8, 2021
6
20
Dah washabiki wakibongo bwana, ungesema wamemuachia Manara uhuru mkubwa zaid ya ilivyopaswa angalau, na ni vile huyo jamaa ana maneno sana na kumzimia mic sio ustaarabu as long as Haongei matusi, isitoshe kauli tatanishi always ndo content sasa za media, ndo maana wanahabari wanapenda kuchokoza sana chanzo ili kukujaza upepo ufunguke. Ni kweli wanamatatizo yao lakini ulichokiweka hapa na wewe ni ushabiki wako tu
hapana brother kauli tata sio ndio kila kitu kwenye media... kauli tata ni hatari sana kwenye media. mfano gazeti la uhuru waliotoa story rais samiha kasema hatogombea urais 2025 ni tata sana na ilipelekea kufungiwa
 
aloycethepr

Member
Feb 8, 2021
6
20
Niimekuwa nikifuatilia kipindi cha michezo cha Wasafi redio baada ya kuondoka kwa Mkuu wa idara ya michezo ya WASAFI Redio Maulid wa Kitenge kutokana na mapenzi niliyokuwa nayo na Redio hiyo hasa kutokana na kuleta hamasa za kufa mtu kwa redio nyingine za zamani lakini ninachoambulia sasa ni uswahili na upungufu mkubwa wa usimamizi wa matangazo na jinsi kipindi kinavyoendeshwa na huyu aliyechukua nafasi ya Maulid wa kitenge nadhani anaitwa Yusuph Mkule Aisee jamaa ni mswahili kupitiliza na very unprofessional. kwa mfano leo asubuhi kipindi karibia choote walikuwa wamemualika Haji manara (zero brain) badala ya kuongelea mechi yao ya Jumapili wakaishia katika taarabu na maneno ya kwenye khanga Weredi kama akina Eduo Kumwembe ilibidi kukikimbia kipindi hadi baadae baada ya Haji kuondoka
mkule na mwenzie yulee sjui nani awajui media ethics na wala awana uelewa wa kufanya interview. manara ilikuwa ni kama amelipia kuwa pale yaaani alikuwa anatarnish image ya simba kirais sana...
mfano manara anadai mchakato wa simba ni wa uongo uongo..... kauli hiii unadhalilisha mamlaka za serikali zimazosimamia mpira na sheria kwa ujumla na pia mo ana uwezo wa kumshitaki yeye na wasafi...
Kuna muda manara anaulizwa swali kati ya yanga na simba wap unafanya kazi kwa amani na uhuru... swali lipo uchi na majibu yanajulikana mwandishi wa media kubwa kama wasafi upaswi kuhuliza swali kama hili..
Kuna muda wakamuuliza kuwa uogopiii kuwa unamsema mo ni billionaire.... manara anadai aogopi kitu.. swali hili inamaanisha mo anaweza kutumia pesa kumdhuru ... kwa ujumla wasafi jana walikuwa ovyo
 
Heijah

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
2,784
2,000
Kipindi kiwe kizuri kisizidi saa moja au dakika 45 tu ili kitakacho jadiliwa kiwe bora kinaisha una hamu ya kusikiliza kesho kama Ertugrul sio Kulfi 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom