Sportpesa Super Cup: Kariobangi Sharks FC 2-3 Simba SC, uwanja wa Afraha. Simba inasonga hatua ya nusu fainali

Simba haikucheza vizuri siku ya leo..Kariobangi sharks walikuwa na spirits kali tangu mwanzo wa mchezo kuonesha kuna kitu walikihitaji tofauti na Simba ambayo ilizembea sana, kazi kubwa inahitajika bench la ufundi..all in all bado tupo nchini Kenya sio kama wale mwafulani hah hah ha
 
0abbfd6f-2172-483a-9ea1-afd7bd420352-950x633.jpg
TIMU ya Simba imefanikiwa kusonga mbele hatua ya nusu fainali ya michuano ya SportPesa Super Cup, baada ya kuinyuka Kariobang Sharks ya Kenya kwa jumla ya mikwaju ya penati 3-2 baada ya dakika 90 kumalizika kwa suruhu ya bila kufungana.
51c3412b-84c8-4e79-8737-ec703996146c-950x633.jpg


Mchezo uliokuwa uanpigwa Uwanja wa Afraha, umeshuhudiwa ukimalizika ndani ya dakika 90 huku kila timu ikishindwa kuona lango la timu pinzani wakati timu zote zikishambuliana kwa zamu bila mafanikio ya kupata hata bao moja.Baada ya dakika 90 kumalizika hatua ya upigaji wa matuta ulifuatia na Simba ikaweza kupata penati mbili zilizofungwa na Erasto Nyoni, Haruna Niyonzima na Jonas Mkude.
Simba2.jpg


Matokeo hayo yanaifanya Simba kuwa timu ya kwanza kuingia nusu fainali baada ya Yanga na JKU zote kutolewa jana.Baada ya Simba kuvuka robo fainali leo, Tanzania itawakilishwa tena na Singida United kesho katika Uwanja huohuo wa Afraha.
 
Kuna watu jana jukwaani walikuwa wanalia hadi mtangazaji akawatembezea kibubu, leo waliamka na shangwe kubwa wakishangilia ghafla wakaanza kulia tena. Njaa za jangwani zitawaua mashabiki
 
Back
Top Bottom