FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,063
- 40,724
Hata angeshinda Trillion 10, huu mchezo ni haramu!
Hizo ni itikadi za uvivu, fanya kazi kwa bidii, don't be lured by easy money, work hard brother!Mkuu unatumia njia gani kubet, nami nataka angalau kwa siku niingize hata elf 15-20 tu inanitosha!! Tell me
Iga tembo kunya upasuke msamba,izo ni kiki za biasharaView attachment 503992huyu jamaa kutoka kenya kashinda bil 4.7 kwa kubet, kaweka dau la 2000 za kitanzania afu kuna wajinga wachache wanaponda na kusema eti ni mchezo haramu
Unafikiri niko serious bro namtania mshikaji tu, najua jibu lake hana!!!Hizo ni itikadi za uvivu, fanya kazi kwa bidii, don't be lured by easy money, work hard brother!
Are you serious ? Kenya hatutumii makaratasi kubet. Hatujawai. Hio ni teknolojia ya vichakani. Ati ukibet unapewa karatasi....mscheeeew!wanasema CEO wa sportspesa alimpigia simu mshindi baada ya matokeo ya mechi zote, je namba ya simu ya mshindi waliipataje? ninavyojua mimi mtu ukibeti unapewa karatasi au mkeka wako na haujazi taarifa zako binafsi e.g namba ya simu, sasa hao jamaa namba ya simu waliipataje?