Sport kizaazaa kulikoni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sport kizaazaa kulikoni?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by GAGL, Jul 12, 2011.

 1. G

  GAGL Senior Member

  #1
  Jul 12, 2011
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 138
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kipindi cha sport kizaazaa kinachorushwa na ITV kinapoteza mwelekeo na maudhui yake. Hii inatokana na wachangiaji pamoja na waendesha kipindi kuacha kujadili michezo kwa ujumla na badala yake kujadili football tu tena wahusika wakuu wakiwa simba na yanga. Kama lengo lilikuwa ni kujadili soka, basi jina la kipindi libadilishe, kiitwe Soka Kizaazaa, maana hii inauwa michezo mingine.
   
Loading...