Sponsorship and full scolarship in our domestic universities.

Balozi Chriss

Senior Member
Jan 21, 2011
153
16
WADOGO zangu mliomaliza KIDATO CHA SITA na umefaulu vizuri hebu chukua nafasi hii kutembelea hii tovuti hapa
www.sblfoundation.com
Nawapenda sana na ninawatakia mafanikio mema.Ngoja mie niendelee kujenga taifa,SINA weekend.
 
Nimejaribu tangu jana ucku lakini hakuna access i.e haifunguki labda kuna njia mbadala?
 
Huo udhamini wa SBL upo kama hivi

The scholars would be students that have received
admission letters to University of Dar es Salaam and Mzumbe
studying, B.com, Engineering, Food Science and IT related
degree courses.

Lakini ni wanafunzi kumi tu ambao watapata sponsor
 
Hi to all, Baada ya tegemeo langu kupotea, natafuta private sponsorship ili niweze kujiunga na chuo mwaka wa kwanza wa diploma of IT (IFM) mapema mwezi huu baadaya kuchaguliwa kuendelea. Kuna mwenye uelewa wa namna na kutafuta sponsors? Naombeni mnisaidie! tuwasiliane kwa namba:0652647020, 0755300877
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom