Spirit bora zisizo na harufu baada ya kutumia

1. Valeur(valuu) hii ni ni chaguo langu ila shida koo kukauka usiku.

2. Smartgin hii ni nzuri sana hata ukinywa kavu haina shida,kasoro tu chipa yake ni plastiki.

3. Kiwingu hii naipitisha kwa 80% sababu haina harufu,hata uchanganye na safari lager asubuhi unaamka kama ulilalia maji ya bomba yan haina hangover hata kidogo.

4. Bongo don, wanajitahidi ila wanapima ndogo sana kama konyagi afu bei ni moja.

5. Roboti hii mwanzoni ulikuwa ukinywa unakuwa kama roboti kweli,ila siku hizi haina maajabu sana harufu ya pipikali(tropical mint) ila chuoa ya plastiki ndio shida yao.

Nawaletea mjaribu na nyie pia.
Mimi huwa napata Kitu ya STATUS PREMIUM VODKA (ORGINAL) hii kitu ukipiga Haina Harufu mdomoni Asubuhi na Hakuna kichwa kuuma Wala Hangover. Hapa MuUkraine alitulia kabisa.
Screenshot_20211023-192723~2.jpg
 
Nchi inapitia hali mbaya ya kiuchumi ndugu zenu watanzania wengine wanapitia maumivu na mateso makali kwa kuonewa. Wewe unaona ni vema kuendekeza anasa kwa kunywa hivyo vilevi? Unaona kweli inaleta balance na equality na picha nzuri katika jamii?

You gus try to be responsible and considerate!
Tusipokunywa unadhani wafanyakazi wa hivyo viwanda wakikosa ajira utawaajiri wewe?
 
Take Grants, jagermeister, hennesy during long weekend friday, then light wine two glass during sunday bila kusahau matunda na maji mengi, then safisha kinywa kwa kutumia sensodyne pitisha na listerin mouth wash harufu kamwe hutoisikia tatizo mtu mmoja spirit unataka unywe glass kumi sio sawa na sio starehe na ndio maana ukinywa inabaki na haiharibiki one to two glass inatosha kuchangamsha kichwa baada ya uchovu
Nimekupenda
 
Back
Top Bottom