Spika wa Uganda,awataka wabunge wa Uganda kutoshiriki ngono na kuacha pupa wakati wa kula

Nilicheka kwa sauti....
Hapa nilipo kuna kijiwe cha dawa ya wanaume maarufu sana nowadays Kasusi hapa { Kimara round about }


Watu wakashangaa!! jinsi nilivyocheka "Mbunge kukabwa na kipande cha mnofu"
Osie Una usheko😂😂😂utasona mazi ya kasusu.
 
Back
Top Bottom