Spika wa Bunge la Kaunti ya Nairobi Beatrice Elachi ajiuzulu na kumpisha naibu wake

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,500
9,279
Spika wa Bunge la Kaunti ya Nairobi Beatrice Elachi amejiuzulu baada ya mgogoro wa uongozi uliomuhusisha Gavana Mike Sonko na sehemu ya mawakilishi wadi.

Elachi alimteua naibu wake John Kamangu katika nafasi ya kuwa kaimu spika huku taarifa rasmi ikisubiriwa.

Spika huyo anayezingirwa na utata aliwasilisha barua yake ya kujiuzulu Jumanne, Agosti 11, asubuhi akitaja unyanyasaji na kutishiwa maisha kama baadhi ya chanzo chake kuondoka ofisini.

1597124320888.png
 
Back
Top Bottom