Spika wa Bunge la JMT siyo lazima awe Mbunge. Mnaoshangilia anguko la Makonda angalieni furaha ya nyani isije kuishia jangwani

Tunakumbushana tu kwa sababu siasa ni sayansi.

Kwa sasa Job Ndugai bado anataka kuendelea kuwa Spika na Dkt. Tulia Ackson anautamani uspika. Ili kuepusha shari CCM ina utamaduni wake kama huujui angalia Dkt. Kigwangalla aliingiaje bungeni kwa mara ya kwanza.

So wale watani zangu wa Ufipa angalieni furaha ya nyani isiishie jangwani mnayedhani mmemuacha Kigamboni mnaweza kumkuta Dodoma amekaa siti ya mbele anaongoza muhimili.

Niwatakie Alhamisi yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
Kama wajumbe STD 7 wamemkataa sembuse bunge lijalo lililosheheni wasomi na wapinzani Akina mdee, haliwezi kuchagua spika mhalifu, ambaye Ana travell ban ya nchi zote za commonwealth Eu na Usa
 
Tunakumbushana tu kwa sababu siasa ni sayansi.

Kwa sasa Job Ndugai bado anataka kuendelea kuwa Spika na Dkt. Tulia Ackson anautamani uspika. Ili kuepusha shari CCM ina utamaduni wake kama huujui angalia Dkt. Kigwangalla aliingiaje bungeni kwa mara ya kwanza.

So wale watani zangu wa Ufipa angalieni furaha ya nyani isiishie jangwani mnayedhani mmemuacha Kigamboni mnaweza kumkuta Dodoma amekaa siti ya mbele anaongoza muhimili.

Niwatakie Alhamisi yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
Nina wasiwasi na ufahamu wako katika kupambanua na kuchanganua mambo...au Tatizo ni elimu yako ndugu
 
Pole mkuu naona bado unateseka sana na anguko la Bashite! Lakini kufikilia Bashite kuwa spika wa bunge ni kuchosha kichwa chako bure! Taaluma yake kimo cha spika ni majimarefu! Pia kuhangaika kuwasema watu wa mtaa wa ufipa ni kujipiga mgongoni kufukuza nzi wakati nzi hao wanakuuma mbele ya kifua! Ukifuatilia hata kauli za katibu mkuu wa CCM Dk Bashiru mara kadhaa alionekana kukinzana na kauli za Makonda na sio Bashiru tu wapo wengi ndani ya CCM hawampendi mwana wa Mungu huyu, ndio maana pamoja na kuwahi kuwa DC wa kinondoni lakini alilikimbia jimbo la kinondoni akavuka ng'ambo kule Kigamboni akizania hawapo, wamemtia adabu! Sasa zile kauli za mkoa wangu......watu wangu.......Huku akiwatumia polisi kama mbwa wa kuwafuga nyumbani kwake sasa mwisho!
Huenda alikimbia kawe kumkwepa sitta Yule ambaye alimsababishia tezidume baba yake
 
Tunakumbushana tu kwa sababu siasa ni sayansi.

Kwa sasa Job Ndugai bado anataka kuendelea kuwa Spika na Dkt. Tulia Ackson anautamani uspika. Ili kuepusha shari CCM ina utamaduni wake kama huujui angalia Dkt. Kigwangalla aliingiaje bungeni kwa mara ya kwanza.

So wale watani zangu wa Ufipa angalieni furaha ya nyani isiishie jangwani mnayedhani mmemuacha Kigamboni mnaweza kumkuta Dodoma amekaa siti ya mbele anaongoza muhimili.

Niwatakie Alhamisi yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
Atakuwa anakomoa Chadema au wananchi?
 
Porojo
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom