Spika wa bunge la daruso-udsm atua ccm, baada ya kuridhishwa na kujivua gamba

Maji kamwe hayachanganyiki na mafuta, hivyo wote wenye kufuata maslahi yao na watafiki watajiondoa. Kuhama si solution. Theodore aliwahi kusema kuwa " do what you can, with what you have, wherever you are" kwa hiyo kama kweli yeye ishi yake ni mabadiliko haina haja ya kuhama.
Wacha aishie bana! Kwani nini bana!
 
Huhitaji kujua kinachomsibu huyu mbumbu, an-lack critical thinking! Tunawajua wengi waliowahi kusomeshwa degree za pili hapo mlimani at the expense ya kuwa puppet wa either watawala au wanasiasa walio madarakani!
 
KATIKA KILA KUNDI LA WANA-CCM 10 UTAKAOKUTANA NAO 08 NI WEZI WA MALI YA UMMA

Ni speaker yupi au wa kitivo gani hapo UDSM maana asije akaanza kuomba ulinzi kama yule Meya feki wa Arusha maana Nguvu ya Umma waliokwishaibiwa sana, kudhalilishwa sana na kupunjwa sana mikopo hapo chuoni huenda wasimpe hata dakika moja ya kuwadhalilisha zaidi na hasa akiwa katika hicho kiti chao cha USPIKA???

Hakika Gamba walilolichokoza ilikuwa ni hoja-mtego itakayokimaliza kabisa CCM. Maana yake ni kwamba endapo mnyama mkubwa kama tembo mwili wake wote ni magamba sasa akianza kujivua gamba moja baada ya nyingine basi matokeo yake ni kwamba hata atakapofikia saizi ya mwili sawa na dawa ya piritoni bado haja ya kujivua gamba zaidi itakua inaendelea tu.

CCM katika hii dhana ya 'Kujivua Gamba' hapo ndipo kunasa kwenu jumla kwenye ndoano rahiiiiiiisi mno!!! Vueni hiyo migamba enyi wana-CCM mnaoelemewa na mizigo ya kutupora kila kitu nchini.

Katika hili nadhani Watanzania tuchange ili tukajenge Mi-jela zaidi ya kuwafungia wana-CCM endapo kweli kutakwepo na haja mioyoni mwao kujirudi na kweli kila mmoja wao 'Kujivua Magamba' sugu ya miaka nenda rudi kwa kuwaibia Watanzania.

Hili ni kutokana na ukweli kwamba katika kila kundi la Wana-CCM 10 utakaokutana nao 8 ni GAMBA SUGU tena wezi wa mali ya umma ama kuendelea kufaidika nazo bila ustahili wowote ambao ndio waliotufikisha hapa tulipo kwenye umasikini wa kupindukia kitaifa.
 
Asisingizie kuridhika na CCM kujivua gamba bali akiri kuwa njaa yake ndiyo imempeleka huko.

Kwanza hakuwa na sababu ya kujieleza. Yeye ni mtu mdogo sana katika jamii ya Tanzania. Angeenda kimyakimya na njaa zake. Pili namuonea huruma sana, je hapo watakapo goma kumlipia huko school of law atafanyaje?
 
amesoma,hajaelimika...kimsingi hata angekuwa spika wa bunge la Harvad kwa hili tunasema moja tu,kama ni njaa sote tuna njaa lakini huyu bwana ni kahaba wa njaa ... tumsamehe bure
 
"umasikini wa fedha huleta umasikin wa fikra"

Mkuu nadhani umasikini wa fikra unaleta umasikini wa fedha. Huyo spika ni sawa na Makinda. Wajua kuna wa2 wanawaweka rehani wake/waume au watoto kwa sabab ya njaa. WHAT A MYOPIC SPEAKER. Ukipenda sana hela unaweza kupenda ufanywe vibaya ili upewe hela chalii
 
HONGERA SPIKA WA DARUSO.....! ila kama na wewe ulipokuwepo ulikabidhiwa SMG isalimishe tafadhali kwa manufaa ya nchi yetu
 
Wakuu,hivi m2 kuchagua chama anachokitaka ni kosa? Kama kaenda CCM ni maamuzi yake kama mimi nilipo hapa CDM..nashangaa wasomi wenye upeo mnapoteza muda kumdis m2 mdogo kisa kaenda CCM,kwann 2cjadili v2 muhmu kama katiba,mnamjadili Mangomango?..
 
Mbwa mwenye mnofu mdomoni habweki! Mnofu wa rushwa ya CCM ni mzito mithili ya tufe lakini mchungu mithili ya nyongo ya kenge! Ni mnofu wenye sumu hatari unaoangamiza maisha ya watanzania wengi. Ama kweli nyoka akijivua gamba, hata siku moja hatageuka kuwa samaki!
Teh teh teheeeeeeeee!Mkulu hapo umenigusa!
 
Njaaaa inauza mpaka utu wa mtu,hana maana huyo Kama kajiunga na ccm mpaka atangaze!?,na kwa nini kipindi hichi?Hana maana tupa kule kwenye dust
 
Kwanza naona mnampandisha chart. kujulikana na kufahamika kwake kunaishia kwenye familia yake. Hata kitongoji anachotokea ni kwamba hafahamiki. Yanini kuumiza kichwa na vdole ndumila kuwili wa dizaini hiyo. Sana sana apewe salaam ya Rest In Peace.
 
Wakuu,hivi m2 kuchagua chama anachokitaka ni kosa? Kama kaenda CCM ni maamuzi yake kama mimi nilipo hapa CDM..nashangaa wasomi wenye upeo mnapoteza muda kumdis m2 mdogo kisa kaenda CCM,kwann 2cjadili v2 muhmu kama katiba,mnamjadili Mangomango?..
Hivi kila mtu anatakiwa awe CDM ndio anakuwa muelevu? Hebu leo tutajieni mafanikio ya CDM toka kimeundwa. Yaani kwakuwa watu mmeamua kuwa CDM basi wengine hawana maana. Iko wapi misingi ya demokrasia inayoliliwa kwenye katiba? Ukweli uhuru wa kujiamulia pasipo kuvunja sheria? Ipo wapi haki ya mtu kuchagua anachotaka? Yaani sasa hivi nchi nzima inatakiwa iwe CDM ndio watu wataelewana? Inamaana tunarudi kwenye chama kimoja indirectly? Usomi wenye upofu si usomi. Usomi wa kupinga changamoto bila tathmini yakinifu unatia mashaka saana.
 
kapotea njia..chadema yenyewe hatutaki watu kama yeye wa maslai binafsi. kajihukumu vibaya!
 
Uwezo mdogo wa kufikiri, kuelewa na kuamua ndio unaomsumbua kijana mweze. Keli elimu alionayo ina2pa mashaka kwa cc 2naomtegemea kama msomi kwani anaonekana ni m2 wa kukurupukia mambo bila kuyafanyia utafiti au anajali maslai binafsi kuliko ya jamii inayomzunguka. Kama msomi unatakiwa kulichukua jambo kulifanyia utafiti kwa muda wakutosha kisha kulitolea maamuzi. Swali kwa kijana mwenze2 je 2nachohitaji watanzania ni chama au maisha bora kwa kila mtanzania 2lioahidiwa! Kama ni hivyo wangeanza na serekali kisha chama kikaja mwisho.
 
Hivi kila mtu anatakiwa awe CDM ndio anakuwa muelevu? Hebu leo tutajieni mafanikio ya CDM toka kimeundwa. Yaani kwakuwa watu mmeamua kuwa CDM basi wengine hawana maana. Iko wapi misingi ya demokrasia inayoliliwa kwenye katiba? Ukweli uhuru wa kujiamulia pasipo kuvunja sheria? Ipo wapi haki ya mtu kuchagua anachotaka? Yaani sasa hivi nchi nzima inatakiwa iwe CDM ndio watu wataelewana? Inamaana tunarudi kwenye chama kimoja indirectly? Usomi wenye upofu si usomi. Usomi wa kupinga changamoto bila tathmini yakinifu unatia mashaka saana.

Ndugu bnhai,
Nadhani kitu cha kujuliza hapa haki ya mtu kuchagua anachotaka maana hiyo ni given, ila ni kwa nini unachagua ulichochagua. Huyu Speaker wa Daruso anasema kahamia CCM kwani sasa (ccm) wamejivua gamba! Pamoja na kelele nyingi but so far CCM wamebalisha Secretariat. Basi!
Unless huyu bwana aseme alikuwa haipendi ile secretariat.
 
Huenda yeye hakutaka kuchagua CDM peke yake. Lakini sasa vyama vyote vilivyobakia hapa JF vinajulikana kama CCM B. Hivi angeenda chama kingine tofauti unadhani angesalimika na maneno ya hapa JAMVINI. Hapa JF uchaguzi sahihi ni chadema peke yake hapo ndio utaona pongezi lukuki. Kama kina Marando walivyohamia CDM huku inafahamika wazi kuwa wao kwa upande wa mahakamani ni watetezi wa wale ambao hapa JF wamebatizwa mafisadi. Yaani double standards za JF ni vituko kwa kweli. Kina Marando ndio wasomi kwa kuwa wapo CDM. Yaani haijalishio unafanya nini ila kama upo CDM basi ni sahihi kwa lolote utakalofanya.
 
Hivi kila mtu anatakiwa awe CDM ndio anakuwa muelevu? Hebu leo tutajieni mafanikio ya CDM toka kimeundwa. Yaani kwakuwa watu mmeamua kuwa CDM basi wengine hawana maana. Iko wapi misingi ya demokrasia inayoliliwa kwenye katiba? Ukweli uhuru wa kujiamulia pasipo kuvunja sheria? Ipo wapi haki ya mtu kuchagua anachotaka? Yaani sasa hivi nchi nzima inatakiwa iwe CDM ndio watu wataelewana? Inamaana tunarudi kwenye chama kimoja indirectly? Usomi wenye upofu si usomi. Usomi wa kupinga changamoto bila tathmini yakinifu unatia mashaka saana.

Hivi wewe unaelewa kiswahili kweli? Sasa kama ungeelewa ucngekuwa na haja ya kujibu hoja yangu namna hebu soma vizuri! Nilichowaambia wadau ni haki yake kuchagua anapopaona yeye ni kuzuri,sasa wewe ulinielewa vp?
 
Back
Top Bottom