Spika wa bunge job ndungai jiuzulu kwa maslahi ya taifa

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,966
Kwa jinsi Bdungai unavyotaka kuiendesha nyumba ya mikutano ya kitaifa sio sawa hata kidogo, hatuwezi kukubali mtu moja kutuvurugia taifa letu.Tumekua na mabunge mengi tangu nchi hii ipate Uhuru na hatujawahi kuona madudu kama haya, leo anaibuka mtu
moja mwonevu kwa mujibu wa wabunge, mwenye jazba,asiyefuata kanuni na taratibu za bunge kutaka mambo yaende takavyo. Ndungai huyu huyu tangu awe spika Kazi yake imekua ni kusimamisha wabunge vikao bila kutafuta suluhu ya tofauti zao. Huyu sio kiongozi aachie ngazi binge liendeshwe na watu weledi.Hivi kiongozi unawezaje kusimamisha vikao vya bunge kwa kosa lake la kwanza bila hata kumpa alarm ya onyo? Huo ndio uongozi?

Leo eti anaibuka mtu from no where anatumia nguvu nyingi kutokufanya kazi na CAG kisa tu ameliita bunge DHAIFU? Kama hujatimiza majukumu yako na ulimwengu unaona ukiitwa DHAIFU unamkasirikia nani? Hii ndio sababu ya kumkasirikia mtu kweli? Kafanya kosa gani kikatiba? Unamwajibishaje kikatiba?

Yawezekana kabisa kuna mkakati unaoandaliwa wa kumkataa CAG ambaye anasimama katika misingingi ya kitaaluma na haki, wanataka waweke mtu atakayewasikiliza wao na sio mtu kama Prof Assad.Kuita bunge DHAIFU sio sababu ya kukataa kufanya nae Kazi,mnataka kuficha nini? Ili kuepusha mgogoro wa kikatiba, Job Ndungai yakupasa kujiuzulu hicho kiti kimekushinda.Y
 
Back
Top Bottom