Spika wa Bunge Job Ndugai amemwamuru Mbunge wa Ukonga kutoka nje ya Bunge

Spika wa Bunge Job Ndugai amemwamuru Mbunge wa Ukonga CHADEMA, Mwita Waitaja kutoka nje ya Bunge kwa kosa la utovu wa nidhamu.

DCxUcMmXgAA7BXT.jpg
Utovu wa ndihamu gani?

Au ndiyo Spika wa bunge kashakuwa "mbwa wa Magufuli" bungeni?
 
Naona wabunge wengi wanajisahau, na kisa haswa amefanyaje?
Chadema wanalia tumepigwa hawaripoti sababu ni nini? Utasikia wanaanzisha uzi meya akamatwa na polisi hawaelezi kitu SAbabu ni nini au mbowe afyekewa mazao yake hawaelezi kisa kizima nk nimekuwa nikifuatilia mashtaka yanavyoletwa humu ni utoto Mtupu ambao hudakiwa na watoto wa bavicha ambao huanza kutoa matamko Ya kulaani nk. Chadema grow jamii forums is a place for great thinkers sio uwanja wa vitoto vya bavicha
 
hivi bunge letu halina CHIEF WHIPS wa parliamentary caucus?maana hawa wangesaidia sana kulifanya bunge letu lisikumbwe na hayo mambo ya kufukuzana kwenye vikao.hawa ni watu ambao mara nyingi kabla ya kikao spika wa bunge anakaa nao na kuongea kuhusu ratiba za kikao na nini kitajadiliwa,utaratibu na sheria za kulinda kikao,na wao wanapeleka makubaliano hayo kwenye caucus zao na kujadiliana ,wanachukubaliana ndio unakuwa mwongozo wao kwa kikao kile,vile vile wanaweza kukubaliana kususia kikao,n.k.
 
Wewe nenda kachanue matako ziwani huna lolote. Na nyie kazi yenu ni kulamba miguu ya watu na kujipendekeza kwa sana tu....
Kati yangu na nyie ni nani anajipendekeza. Mshawekwa mateka na mamangi wa Kilimanjaro hamsikii la kuambiwa - mnaburuzwa tu. Mnadeki Lami, Mnazungushwa viuno
 
Mleta uzi hujatutendea haki ya kuifahamu vyema hii taarifa yako. Kwa hilo niweke tu akiba ya maneno mpk hapo nitakapopata habari kamili. (Au ndio wabongo wape picha tu habari watatengeneza wenyewe?.......Natania)
 
Back
Top Bottom