Spika wa Bunge athibitisha kupokea barua ya kujiuzulu ya Dr. Possi, nafasi ya kuteua yarudi kwa Rais

Good People

JF-Expert Member
Aug 6, 2016
945
1,819

UBUNGE WA POSSI: Spika wa Bunge Job Ndugai amethibitisha kupokea barua ya kujiuzulu Ubunge ya Dk Abdallah Possi aliyeteuliwa kuwa Balozi.

Bunge.jpg
 
Walemavu wa ngozi wamekosa mwakilishi sababu ya Bulembo anayekuja kumtia nguvu Lusinde katika mipasho
Nafasi za walemavu kwa upande wa CCM, zipo na zina wawakilishi kama ulikuwa haulijui hilo nimekuhabarisha,
Zile kumi za rais ni kwa jinsi itakavyompendeza yeye maadam uwe "ke" au "me" haijalishi rangi, kabila, una kichwa n.k
kwa kuwa zimebaki 3 za "ke" tutamwomba mheshimiwa akufikirie.
 
Mingekuwa ni mimi Possi nakomaa!! Yaani kum accomodate Bulembo kuwe tatizo kwangu.
 
Nafasi za walemavu kwa upande wa CCM, zipo na zina wawakilishi kama ulikuwa haulijui hilo nimekuhabarisha,
Zile kumi za rais ni kwa jinsi itakavyompendeza yeye maadam uwe "ke" au "me" haijalishi rangi, kabila, una kichwa n.k
kwa kuwa zimebaki 3 za "ke" tutamwomba mheshimiwa akufikirie.
Kwani mie Albino? Hata kama ningekuwa siwezi kukubali uteuzi wa ccm watoa kafara
 
Walemavu wa ngozi wamekosa mwakilishi sababu ya Bulembo anayekuja kumtia nguvu Lusinde katika mipasho
Yuke aliyeiba CCM kwa kuuza shule za wazazi ameteuliwa kuwa Mbunge halafu tunadanganywa ati tunapiga vita rushwa na ufisadi.
 
Back
Top Bottom