Akiongea na waandishi wa habari leo spika amesema wameongeza posho kutoka 70,000 hadi laki 2 kwa siku.
Easy fit mbona habari yako iko uchi hivi kama chupi imekatika katikati imepanda tumboni
Akiongea na waandishi wa habari leo spika amesema wameongeza posho kutoka 70,000 hadi laki 2 kwa siku.
At least presha imeshuka huyu Kashililah alinichanganya sana.....nilikuwa najiuliza nitaiambia nini nyumba ndogo niliyokwisha i-promise.Akiongea na waandishi wa habari leo spika amesema wameongeza posho kutoka 70,000 hadi laki 2 kwa siku.
Halafu amewasemea wabunge kuwa mshahara wanaopokea ni mdogo sana ukilinganisha na majukumu wanayofanya. Hivi huyu mama ana ndugu nyumbani kwao au ndiyo wale waliokimbia kijijini kwa kukataa kuolewa?
mliolitukana gazeti la mwananchi inabidi muliombee radhi.
Watanzania naona sasa wakati wa kukusanyika viwanja gymkana club.jee juzi ofisi ya bunge imekanusha leo spika anakiri
UMEKUNYWA MATAPUPATU??!i