Spika wa bunge aliyepita.....


Kamaka

Kamaka

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2010
Messages
565
Likes
0
Points
33
Kamaka

Kamaka

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2010
565 0 33
NDUGU
WACHAMBUZI WA SIASA ZA TANZANIA

Spika wa bunge lililopita ,
akipewa Uwaziri kama njia ya kumpoza baada ya kubwagwa kwenye kura za awali, ataweza kuonesha tija kwa kiwango cha juu kama waziri,?
kama alivyokuwa bungeni au atapunguza speed.? Au UWEZO WAKE NI KWENYE KUSIMAMIA VIFUNGU VYA SHERIA Tu? NAOMBA KUWASILISHA hoja hii tuijadili.
 

Forum statistics

Threads 1,236,606
Members 475,218
Posts 29,263,798