Spika wa bunge aikandamiza demokrasia bungeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Spika wa bunge aikandamiza demokrasia bungeni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by The Conquerer, Aug 16, 2012.

 1. T

  The Conquerer Member

  #1
  Aug 16, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wakati mh. Wenje akipendekeza marekebisho ya muswada wa sheria kuhusu kodi katika muda wa maongezi ya simu kushushwa kutoka 12% hadi 10%, spika alipigisha wabunge kura na ukweli ni kwamba waliopiga kura kumuunga mkono mh wenje walishinda ila spika amekataa na kuwapa ushindi upande wa serikali.

  Huku ni kuwahujumu wananchi wa kawaida ambao ndio watumiaji wa simu, maana kwa jinsi hiyo gharama za simu sasa zitakuwa juu
   
 2. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #2
  Aug 16, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,745
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  hapana, ni vema kodi iongezwe kwenye simu, haya makampuni makubwa ya simu yanavuna mamilioni. kodi ikiwa juu wananchi watapunguza matumizi ya simu na hivyo wenye hayo makampuni wata-adjust rate , so ni vema serikali ipate pesa kwenye simu
   
 3. ikuo

  ikuo Member

  #3
  Aug 16, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  hata mimi imeniuma sana nimeona wazi kabisa ccm inavyo kandamiza upinzani.
   
 4. F

  FJM JF-Expert Member

  #4
  Aug 16, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Wabunge wengi walikubaliana na hoja ya Wenje ya kutopandisha kodi kwa maongozi ya simu lakini Spika akaamua kupindisha mambo na hata pale Zitto alipotaka kura zihesabiwe Spika akakataa. Kwa maneno mengine, Spika Anne Makinda anakuwa personally responsible kwenye ongezeko la gharama za maongozi ya simu. Mtu mmoja ameamua kuwamaliza watanzania. Na wengi wataoumuua na hili ongezeko la gharama za maongezi ni wanawake na vijana. Unforgivable.
   
 5. Mangaline

  Mangaline JF-Expert Member

  #5
  Aug 16, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 1,052
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Tuvumilie wakati uliobaki kwao no kidogo tu.
   
 6. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #6
  Aug 16, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,800
  Likes Received: 3,884
  Trophy Points: 280
  sio kweli makampuni makubwa wakiongezewa kodi wanaitupa kwa wananchi na kwa hali ilivo sasa simu ni muhimu sana na watumiaji hawawezi kuacha kupiga simu Anna Makinda uzee unamuingia vibaya na yale macho kama mchawi ananichukiza sana anapoburuza bunge bila aibu!
   
 7. t

  tusichoke JF-Expert Member

  #7
  Aug 16, 2012
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 1,286
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Pia nimeicheki ,ccm na makinda wanazidi kujimaliza, haya yote tunayaona lkn tupo kimya watanzania bwana yani tunatumika kuwaneemesha mafisadi kila kona
   
 8. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #8
  Aug 16, 2012
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Ndugu Mwikimbi kodi inayozungumzia hapa si ya mapato ambayo inalipwa toka kwenye faida bali ni excise tax ambayo inakusanywa toka kwako, shangazi zako, wajomba zako, mayaya uliowaachia simu ili mtoto akiugua ghafla awapigie, mimi, jamaa na watu wote wanaotumia simu. Kazi ya kampuni za simu ni kukusanya toka kwetu watumiaji na kuzipeleka TRA
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. m

  matongo manawa JF-Expert Member

  #9
  Aug 16, 2012
  Joined: Apr 6, 2011
  Messages: 336
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Dawa yao ipo jikoni,nguvu ya umma itaondoa yote haya.
   
 10. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #10
  Aug 16, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  2015 bado ni mbali kwa haya wanayotufanyia
   
 11. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #11
  Aug 16, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,745
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  nimekuelewa, kumbe nazeeka vibaya. lakini makinda kazeeka zaidi, huyu mama ni janga la taifa
   
 12. M

  Mutakyamirwa JF-Expert Member

  #12
  Aug 16, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 4,873
  Likes Received: 334
  Trophy Points: 180
  Colleagues,

  Inaumiza sana kuona mama huyu anailinda serikali kiasi hicho. Inaumiza kuona mama huyu analinda maslai ya watu wachache. Sijui kikatiba imekaaje kama spika akienda kinyume na matakwa ya kura za wabunge wengi (I am still learning this). Wasiwasi wangu nikwamba wachache hawa hawa wanaweza kutumia mbinu hizi hizi hata 2015 na watanzania wakazidi kuhumia. So let's be watchful!
   
 13. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #13
  Aug 16, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,539
  Likes Received: 10,461
  Trophy Points: 280
  huyu mama ni janga la taifa, tatizo alipewa uspika sababu ya jinsia yake na sio uwezo.
   
 14. Opaque

  Opaque JF-Expert Member

  #14
  Aug 16, 2012
  Joined: Oct 24, 2008
  Messages: 1,138
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Hivi haiwezekani kiongozi kwenda likizo, kama vile ya ujauzito etc?
   
 15. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #15
  Aug 16, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,834
  Trophy Points: 280
  unatakiwa ujiulize nani ataumia hapo! Si kila mtu ana tumia simu bila sababu ya msingi!
   
 16. d

  dkn Senior Member

  #16
  Aug 16, 2012
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 132
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Simu inarahisisha mawasiliano na pia kuleta maendeleo ya kiuchumi, waafrika ni maskini lakini tumekuwa tukitumia hii teknolojia hata kupita nchi zilizoendelea na inatutafuna kwelikweli, ndiyo maana serikali inashikilia hii biashara. Wakati tumepata fiber optics na mawasiliano yameshuka kwanini tulipe 12%? Bora iwe 60% watumiaji wawe wachache na wenye makampuni ya simu washushe bei zao…wakitaka waendelea na wachache wenye hela
   
Loading...