SPIKA: Tumesitisha kufanya kazi na CAG. Panga pangua Kamati za Bunge yaanza

Wacha ujinga juha wewe! Kama ndiyo hivyo kwanini alitumia kauli ya vitisho ya kumfunga pingu?

Kaona negative reaction ya Watanzania tunaojitambua sasa KASTUKA anaanza kujibaraguza.

Unachanganyikiwa bila sababu za msingi spika amasema wataanza kufanya kazi na sieiji hili swala litakapoisha hii ina maana spika yupo ve+ ili jambo liishe vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi itaendeshwa bila ya ukaguzi wa chombo huru (CAG) hapo ndio ulaji kama wa Escrow utatamalaki.
Wataiba watavimbiwa na kubeba kwenye viroba!

Ni mbinu ya JIWE na huyo Ndugai kutaka kuficha uchafu wao!! Ni mbinu ya kuficha wizi mkubwa wa fedha za umma.
 
Tumtakie CAG Mstaafu, Prof. Mussa Assad kustaafu kwema na amestaafu kwa heshima na kwa mujibu wa sheria na sio kwa hoja zozote za vitatange na vibirifitina, jina lake litaandikwa kwenye kile kitabu cha mashujaa wa kweli wa taifa wetu kwasababu ameacha Legacy.

Karibu CAG Mpya, Charles Kicheere, tunakutakia kazi njema.
Paskali
 
Amestaafu au "contract" imefika ukomo wa muda?
 
Back
Top Bottom