Spika Tulia Ackson ampa onyo kali Mbunge Tabasamu kwa kumuita Condester Sichalwe 'Mbunge wa ajabu'

..katika bunge lililopita kuna matukio ya wabunge wanaume wa Ccm kuwadhalilisha wabunge wanawake wa upinzani lakini Spika na Naibu Spika wa wakati huo hawakuchukua hatua hata kukemea udhalilishaji huo.
 
Nadhani suala la gongo linahitaji mjadala wa kitaifa, kama konyagi ipo kwa nini gongo isiwepo? Wanywaji wa pombe za asili pia wanahitaji kinywaji kikali kama ambavyo wanywaji wa bia za chupa wanakinywaji kikali kama konyagi!

Utengenezaji wa gongo hautakoma leo wala kesho, utaendelea kuwepo milele hivyo ni jukumu la serikali kuhakikisha mazingira ya utengenezaji wake unaboreshwa na watumiaji wanapata kilicho bora!
Mazingira yatakapo boreshwa haitaitwa Tena Gongo,
Na itakosa raha, n bora iendelee kupigwa marufuku hivo hivo. Ili tuendelee kuinywa kwa kificho ndio utamu wake.
 
hata hivyo haiondoi maana kua ni mbunge wa ajabu, unaenda bungeni kutetea gongo?
Gongo Bungeni na Dr Slaa alitaka gongo iheshimiwe kwa kurasimishwa. Rais wa mioyo ya baadhi ya watu...."kanywere hatari sana wanaweza kukutupa kwenye kijiti"
 
Spika Tulia Ackson amesema wabunge wote wana hadhi sawa na hakuna mbunge wa ajabu, ametolea mfano Msukuma ameshawahi kuchangia kuhusu bangi na hakuna mtu aliyemuita mbunge wa ajabu na kudai yawezekana hoja kwa sababu Condester mwanamke ikawa na nguvu

Spika amesema kanuni za Bunge zinataka wabunge watunziane heshima na kumekuwepo taarifa

Kanuni zinamtaka aidha kumpeleka kamati ya maadili au kutoa onyo, Spika ameamua kutoa onyo na kumuomba radhi mbunge Sichalwe kwa niaba ya bunge.
Hili li Chadema lifukuzwe lirudi huko kwenye chuo Cha matusi
 
Serikali kama inataka kuhalalisha gongo basi iweke kodi kubwa ili waweze kuimudu wachache, gongo ni cheap itamaliza wengi tutakuana na jamii za walevi sana
Si kweli kuwa tutakuwa na jamii za walevi kwa kuwa wanywaji watabaki kuwa hawa hawa ila watakuwa na machaguo mengi ya vinywaji. Kwa sasa watu wanakunywa gongo katika mazingira hatarishi na wanakunywa kwa pupa kwa kuhofia mkono wa sheria na hivyo kuwasababishia kulewa vibaya.
 
Mazingira yatakapo boreshwa haitaitwa Tena Gongo,
Na itakosa raha, n bora iendelee kupigwa marufuku hivo hivo. Ili tuendelee kuinywa kwa kificho ndio utamu wake.
Kwani jina gongo linatokana na mazingira inaponywewa?
 
Nadhani suala la gongo linahitaji mjadala wa kitaifa, kama konyagi ipo kwa nini gongo isiwepo? Wanywaji wa pombe za asili pia wanahitaji kinywaji kikali kama ambavyo wanywaji wa bia za chupa wanakinywaji kikali kama konyagi!

Utengenezaji wa gongo hautakoma leo wala kesho, utaendelea kuwepo milele hivyo ni jukumu la serikali kuhakikisha mazingira ya utengenezaji wake unaboreshwa na watumiaji wanapata kilicho bora!
Talk science please. Chemical composition ya Gongo Ni tofauti na Konyagi. Uncontrolled oxydation of ethyl alcohol generates dangerous chemicals such as aldehydes, ketones and many others which are not recommended for human consumption
 
To hell with your science! Watu wamekunywa gongo maisha yao yote mpaka wamezeeka zaidi ya miaka 70! Kupika gongo kwa kificho ndiko kumefanya watu kuweka vitu visivyostahiki, ingepikwa kwa uwazi hakika ni kinywaji kisicho na mshindani!

Hapo Dar kiwanda cha konyagi kimewapa watu tenda ya kutengeneza gongo na kinanunua na ku-pack katika chupa zao!
 
Si kweli kuwa tutakuwa na jamii za walevi kwa kuwa wanywaji watabaki kuwa hawa hawa ila watakuwa na machaguo mengi ya vinywaji. Kwa sasa watu wanakunywa gongo katika mazingira hatarishi na wanakunywa kwa pupa kwa kuhofia mkono wa sheria na hivyo kuwasababishia kulewa vibaya.
labda hujaishi vijiji vya wanywa gongo ukaona wewe
 
Hajasema iruhusiwe kasema..iundwe bodi itakayo simamia pombe za kienyezi ziboreshwe na kuingizwa katika soko rasmi..serikali ipate kodi.

#MaendeleoHayanaChama
Kwa hiyo hiyo bodi itasimamia mauzo ya pombe za kienyeji ikiwemo gongo?
 
Nadhani suala la gongo linahitaji mjadala wa kitaifa, kama konyagi ipo kwa nini gongo isiwepo? Wanywaji wa pombe za asili pia wanahitaji kinywaji kikali kama ambavyo wanywaji wa bia za chupa wanakinywaji kikali kama konyagi!

Utengenezaji wa gongo hautakoma leo wala kesho, utaendelea kuwepo milele hivyo ni jukumu la serikali kuhakikisha mazingira ya utengenezaji wake unaboreshwa na watumiaji wanapata kilicho bora!
Tuombe ushauri kwa Jaji Warioba anaweza kutupa jibu sahihi.
 
Niliwahi kukaa na mbunge wa Iringa anayoongea mmh! na nikamuona akiandika.Mmh elimu muhimu kwa hawa waheshimiwa.
😆😆😆 Ulionaaa nininwakati ana andika andika mkuu ?

Kuna Cv ya Mp mmoja nimeiona nikacheka, experience yake sasa...yaan kafanya kazi ktk yale ma chain market yale kama akina good morning Bilionea, yaan nikasema sasa huyu atatusaidia nini ?
 
Back
Top Bottom