Spika Sitta sheria hizi za uchaguzi zifutwe

Malaria Sugu

JF-Expert Member
Jul 7, 2009
2,653
264
Hivi sasa kunasheria inayosema kwamba kikomo cha Ubunge kinakoma baada ya miaka 5, akifa Mbunge, akihama Chama au akifukuzwa uanachama.
Nataka sheria hii imebadilishwe na inachotakiwa kwa sasa itungwe sheria ya Mbunge asietimiza ahadi zake kwa wananchi kwa 75% muda wa miaka 2 kiti kiwe wazi na tufanye uchaguzi mpya ili Wananchi tupate Maendeleo. kwani miaka 5 mingi kwa dhiki ,pesa za uchaguzi najua tunapata kwa wafadhili kuhusu siasa tu na sio za mendeleo basi tuzitumie
 
Back
Top Bottom