Spika Sitta Kung'olewa?

These are propaganda of CCM MPs who see danger within their party. No Lowasa Presidency in Tanzania. We must prepare for a new generation of leadership.

Mwanahalisi's assumption is, CCM will continue to be powerful after 2010 and then win 2015, that is miracle. There will be a complete different political landscape in Tanzania after November. Think of new names and Lowasa, Sitta etc.

Zitto;

Zitto inawezekana ikawa kweli ila logic iko hivi kuna research yoyote inayoonesha kuwa kuna njama hizi?

Mimi ninamfahamu ndugu yangu Kubenea na siamini kama anaweza kutunga story tu, nadhani kuna undani wa jambo hili

tuko nyuma tunatazama!!!
 
These are propaganda of CCM MPs who see danger within their party. No Lowasa Presidency in Tanzania. We must prepare for a new generation of leadership.

Mwanahalisi's assumption is, CCM will continue to be powerful after 2010 and then win 2015, that is miracle. There will be a complete different political landscape in Tanzania after November. Think of new names and Lowasa, Sitta etc.

Mkuu Zitto umesema mwaka 2015 na Lowasa na Sitta bado tuwategemee kwenye hiyo new Political landscape ?
 
These are propaganda of CCM MPs who see danger within their party. No Lowasa Presidency in Tanzania. We must prepare for a new generation of leadership.

Mwanahalisi's assumption is, CCM will continue to be powerful after 2010 and then win 2015, that is miracle. There will be a complete different political landscape in Tanzania after November. Think of new names and Lowasa, Sitta etc.

If only the opposition parties did put the national interests first instead of their selfish personal greed,then the thesis that come November this year, there will be a new political dispensation will be tennable. Unfortunately, the reality on the ground is that the fisads will trioumph again!!
 
No one can stop Lowassa and Rostam from fantasizing about the Presidency, even making plans for it but Lowassa cannot return to Grace...

And Zitto, you are wrong about this being CCM propaganda, Kilango, Sitta even more wanataka kuride the wave of popularity due to the ufisadi thing.. As for your comment on a new political landscape, that is highly unlikely and appears to some extent to be fantasy of your own.

CCM will gradually lose power but not at the rate you suggest.
 
" Kama MUNGU AISHIVYO hakuna hila wa njama iliyo na hila ndani yake itakayofanikiwa chini ya jua la Tanzania katika uchaguzi wa 2010 onwards"
 
Zitto;

Zitto inawezekana ikawa kweli ila logic iko hivi kuna research yoyote inayoonesha kuwa kuna njama hizi?
mimi ninamfahamu ndugu yangu Kubenea na siamini kama anaweza kutunga story tu, nadhani kuna undani wa jambo hili

tuko nyuma tunatazama!!!

IsayaMwita,

Kubenea anatumiwa na kundi la Mengi kumchafua kila mmoja anayejaribu kupambana na hao wanaojiita wapiganaji dhidi ya ufisadi.

Kuna kati yao wako hoi kwenye majimbo yao si kwasababu wanapigana na ufisadi bali kwasababu ya local politics. Wao badala ya kukabiliana na hatari hiyo wanatumia propaganda nyingi kumhusisha kila anayejitokeza na akina Lowassa na RA.

Kuna wakati Kubenea aliandika uwongo kwenye makala yake na akaambiwa aje aitetee hapa JF lakini akaingia mitini. Ukiangalia habari zake nyingi haongelei facts bali mambo ya kwamba huyu anadai hili huku hawasemi hao waliomwambia.

Mtu anayefikiri Lowassa anaweza kuwa rais Tanzania anaota ndoto ya mchana. Lowassa kaangushwa mara mbili, ya kwanza ni maneno yale ya Nyerere na mara ya pili ni Richmond. Sana sana anaweza kurudi kwenye serikali lakini sio kuwa rais au kuwa PM.
 
Hatuwezi kutarajia miujiza ya sura mpya 2015 kwa mwendo huu tulionao. Bongoland ni kichwa cha mwendawazimu.
 
These are propaganda of CCM MPs who see danger within their party. No Lowasa Presidency in Tanzania. We must prepare for a new generation of leadership.

Mwanahalisi's assumption is, CCM will continue to be powerful after 2010 and then win 2015, that is miracle. There will be a complete different political landscape in Tanzania after November. Think of new names and Lowasa, Sitta etc.

Ni wewe Zitto unayoyasema sasa? Welcome back on board!
 
Sura mpya katika siasa za Tanzania zitakuwa ni mbegu za walioko madarakani. Ama watoto wao au marafiki zao, lakini siyo the real new blood kama ambavyo tunaota
 
In Tanzania everything is possible, we are very active, innovative and productive when it comes to destroying our country.

I wonder when will we wake up and be serious with our Country. We know exactly who are corrupt politicians, and unfortunately these are the same men we are now talking about and we hear that have full support of ruling party. Ujinga kweli. Ndio maana bado tuko doomed and for sure we will be so at least for other 5, 10 to 15 years.

Miaka 40 ya uhuru tumeshindwa hata kujenga shule ya maana, uwanja wa ndege wa maana na hakuna reli hata moja, so pathetic. Ngege toka tulizoachiwa na mkoloni ndio hizo hizo. Tunang'ang'ania watu ambao tuna hakika kabisa tukiwachagua mwaka 2010 come 2015 hakutakuwa na mabadiliko yoyote, sana sana kutakuwa na negative change.

Na kwa ujinga tulionao wapiganaji ambao at least wameonesha uzalendo wanaweza kuondolewa. And then Nyani Ngabu akisema ndivyo tulivyo mnamuona anatukuza wazungu. Banana republic is better by for than the united one.
 
Sura mpya katika siasa za Tanzania zitakuwa ni mbegu za walioko madarakani. Ama watoto wao au marafiki zao, lakini siyo the real new blood kama ambavyo tunaota

Hapa siwezi kubisha hata kidogo. Ukiangalia sasa utaona kuwa mafisadi wanaona ni better kutumia remote control kuliko wao wenyewe kuwepo madarakani. Evidence ziko nyingi sana, pamoja na ushahidi wote uliopo no body anaweza kuwakamata na kuwafikisha mahakamani.
 
Mimi ninaomba tunakwenda nje ya mstari kidogo. Kwani topic ni kuwa kuna njama za kumg'oa mbunge sitta uspika.na vilevile kuna njama za kuwan'oa wabunge fulani.

Mimi nilidhani katika demokrasi watu huwa huru kugombea [hakuna mtu mwenye haki ya kuwa mbunge hadi kifo] na katika hali kama hii mara nyingi mbunge aliyemadarakan aidha anauwa na advantage [kama bado wapiga kura wake wana imani naye] au disadvantage [kama hawana imani naye] hivyo basi wagombea wengine sana sana ni jinsi wanavyokubalika na wapiga kura.

Suala la kushinda na kushindwa ni haki ya wapiga kura na kama ni hivyo suala la kung'olewa linatoka wapi???? Vilevile Uspika hivi sasa siyo lazima uwe mbunge[nimeambiwa hivyo] Spika anachaguliwa na wabunge kutokana na imani yao kuwa atawaongoza vyema kwa kufuata kanuni walizojiwekea . Sasa huko kulia lia kabla ya uchaguzi maana yake ni nini?????

Hawa wakubwa pia hulalamika kuwa mafisadi wanatembeza pesa majimboni sasa mbona hawawataji majina???? hivi kama watu kama spika na wabunge wanaogopa kuwataja tuwaeleweje????? au ufisadi ndiyo kilio cha kujihami kutokana na hali ya hewa majimboni kuwa mbaya???? au wanalinda ili waendelee kula panadol za shs 2,000,000 za umama???

Kushinda na kushindwa kwenye nchi ya kidemokrasia ni ushindi kwa wote. Waache visingizio waende kujiuza kwa wananchi.
 
Sijawahi kuwa enthusiastic na statements za Sitta eti ni mpigania wanyonge. Na hata Wabunge wote including our fellow Zitto in here. Isipokuwa Slaa ambaye aliweza kujieleza wazi kabisa kupinga marupurupu wanayorundikiwa Bungeni. Waliobaki kwao kupewa zaidi na zaidi ni ushindi.

Ni huyo Sitta aliyewahi kusema Wabunge lazima waishi kwa raha na wakamshangilia kwa staili yao ya kugonga meza.

Sitta ni Bingwa wa kupambana na wanaompinga tu, na siyo wanyonge. At his age and long service, he deserves to go! Au hana mtoto wa kumrithisha siasa?
 
mimi namuona anafanya kazi yake vizuri, unajua siku hizi ukifanya kazi kwa uadilifu wewe ndio unakuwa mbaya...

Nadhani si siku hizi tu mkubwa nahisi haka kautamaduni ka kumchukia mtu mwadilifu kana mizizi mirefu Tz (sokoine sijui kama alikuwa na marafiki wa dhati katika chama na serikali yake) ....utakuta hata ofisini ukifanya kazi kwa uadilifu na ubora unageuka threat kwa bosi eti anaona unajipendekeza labda uonekane hii inaua sana nchi yetu...utaona mtu anateuliwa alikuwa mwadilifu na mchapakazi lakini baade kwa kuogopa kuwa asije akawa threat kwa aliyemteua basi nae anarudi nyuma anacheza sawa na bosi wake yaaani umaskini ya watanzania unachangiwa na mambo mengi sana
Mix with yours
 
Hivi hawa kina Sitta, Mwandosya, Mwakyembe , Magufuli n.k wao hawana mtandao wowote au hawana watu wanao waunga mkono CCM hadi wao tu ndiyo watishiwe kung'olewa!!! waache uoga na unyonge usio na mpango nao wachagame bwana, kwani Kina Lowassa ninini?
 
Back
Top Bottom