Spika Sitta aamuru majina ya mawaziri wenye vyeti feki yapelekwe kwa DPP | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Spika Sitta aamuru majina ya mawaziri wenye vyeti feki yapelekwe kwa DPP

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ulimbo, Nov 26, 2009.

 1. Ulimbo

  Ulimbo JF-Expert Member

  #1
  Nov 26, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 678
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Nimeona agizo hili kwenye gazeti la nipashe. Tusubiri hii movie itakuwaje
   
 2. D

  Dalilah Member

  #2
  Nov 26, 2009
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 47
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Itakwisha vizuri tu, si unajua stering hafi, akifa, sinema imekwisha. Hii itaishia kimya kimya, vihiyo wapete ki-ulainii
   
 3. k

  kosamfe Member

  #3
  Nov 26, 2009
  Joined: Apr 14, 2009
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sidhani kama kuna lolote litafanyika dhidi yao
   
 4. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #4
  Nov 26, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Nadhani hili litafanyiwa kazi hasa ukizingatia tunaelekea uchaguzi kwahiyo lazma chama na serikali vijisafishe

  nina imani kwamba hawa jamaa watashughulikiwa
   
 5. Ulimbo

  Ulimbo JF-Expert Member

  #5
  Nov 26, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 678
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Mimi nafikiri hiki kitakuwa kiini macho tu. Kwani ni maovu mangapi yalishawahikupelekwa kwa Dpp, na hatua za kisheria zikachukuliwa? Kuna baadhi ya viongozi wamehusishwa na UFISADI, lakini pamoja na kesi zao kupelekwa mahakamani, bado wanaendelea kushikilia nafasi zao na hata baadhi ya viongozi wanzao wanawakingia kifua.
  Mimi nilitegemea kuwa, kama kiongozi amehusishwa na ubadrifu wa mali za uma kwa namna moja au nyingine, basi aachie ngazi, na kama ikidhibitika kuwa hana hatia, basi anaweza kurudishwa au asirudishwe. Kuwa kiongozi ni kuwatumikia watu na si kujinufaisha, hivyo kiongozi mwenye mapenzi mema akiambiwa aachie ngazi na nafasi yake apkapewa mtu mwingine, asingejisikia vibaya.
  Hali ya sasa ni kuwa uongozi umekuwa dili, hivyo mtu atajitahidi kuilinda nafasi yake kwa namna yeyote ile ata kama ni kumwaga damu basi atakuwa tayari kufanya hivyo.
   
 6. Zed

  Zed JF-Expert Member

  #6
  Nov 26, 2009
  Joined: Mar 28, 2009
  Messages: 359
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hapa ndipo najiuliza vyama msururu vya ma-Lawyer na wanaharakati wetu vipo wapi? Ki-wapi Tanganyika Law Society? Ki-wapi Zanzibar Law Soceity? Tanzanian Women Law Society? LEAT na wanaharakati wengine wanaotetea maadili. Tuungane tumsadie spika na na Ndugu Msemakweli tuwaburuze hawa mahakamani!!! Hapo ndipo wengine watajifunza tupo serious (makini) na viongozi wanaotuongoza...
   
 7. M

  Magezi JF-Expert Member

  #7
  Nov 26, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Hakika Vyama vya wanasheria hapa Tanzania ni kama havipo au vimenunuliwa na mafisadi.
   
 8. Zed

  Zed JF-Expert Member

  #8
  Nov 26, 2009
  Joined: Mar 28, 2009
  Messages: 359
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Tuwaamshe Chama cha Wanasheria Tanzania, tumwandikia rais kumtaka afanye kitu kwenye hii ishu ya mawaziri vihiyo ni sehemu ya katiba na majukumu yao kusaidiana na wananchi kudumisha utawala wa sheria hii hapa link yao: http://www.tanganyikalawsociety.or.tz/president.htm
   
 9. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #9
  Nov 26, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Watz kwa kusahau mambo mbona ilo suala tayari liko kwa recycle bin
   
 10. Scientist

  Scientist JF-Expert Member

  #10
  Nov 26, 2009
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kiini macho tu hicho! Spika hiyo ishu anaijua siku nyingi leo ndiyo anajifanya iende kwa DPP?? walikuwa wapi siku zote? We umesikia nchi gani mawaziri wamefoji vyeti na bado wanaendelea kushikilia na lkutolea maamuzi mambo muhimu yanayohusu nchi???????????
   
 11. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #11
  Nov 26, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mkuu sahau mijamaa imekuwa miwaziri kwa miaka zaidi ya minne! Huyu Sitta ameza kuweweseka alikuwa wapi mwezi ule wa kwanza tu serikali kuwa madarakani?
   
 12. M

  Mchili JF-Expert Member

  #12
  Nov 26, 2009
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 727
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kugush vyet ni kosa la jinai, kwani mpaka spika aseme? Na je ana madaraka hayo kikatiba?
   
 13. R

  Renegade JF-Expert Member

  #13
  Nov 26, 2009
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 3,767
  Likes Received: 1,072
  Trophy Points: 280

  hii picha lazima itakuwa ya kihindi
   
 14. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #14
  Nov 26, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,609
  Likes Received: 82,187
  Trophy Points: 280
  Sterling mwenyewe hata kwenye movie hakustahili kuwemo kabisa. Hii movie haiendi kokote ni midabwada tu ya kutaka kutuonyesha kwamba wanafuatilia lakini hakuna lolote lile. Hili ni baadhi ya viroja tutakavyoviona kuelekea 2010.
   
 15. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #15
  Nov 26, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kwanza katika hili atawashtaki kwa kosa gani? Kwa sababu kusoma chuo ambacho hakitambiliki si kosa kisheria. Namshauri DPP asipoteze fedha zetu kwa jambo hili, aangalie mengine ya muhimu
   
 16. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #16
  Nov 26, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Unamjua Chitalilo, mwaka wa nne huu anapeta kwenye ubunge na polisi walishathibitisha kuwa ameghushi vyeti
   
 17. Scientist

  Scientist JF-Expert Member

  #17
  Nov 26, 2009
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Kweli bongo tambarare....
   
 18. Al Zagawi

  Al Zagawi JF-Expert Member

  #18
  Nov 26, 2009
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,717
  Likes Received: 242
  Trophy Points: 160
  ....tanganyika..
   
 19. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #19
  Nov 26, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kuna wananchi na wenye nchi
   
 20. M

  Mayolela JF-Expert Member

  #20
  Nov 27, 2009
  Joined: Sep 21, 2009
  Messages: 383
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Habari hii toka imeanza kuwekwa hapa ni karibu miaka 3 na...,hakuna hatua yoyote iliyokwisha chukuliwa,kweli stering auwawi.Kwanini wahusika wasichukuliwe hatua na sheria si zipo kugushi ni kosa jamani??????????
   
Loading...