Spika Ndugai wengi tunajiuliza kama kweli una nia njema ama nia isiyojulikana. Hivi kweli huoni kabisa?

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,182
11,199
Spika Ndugai wewe hutokuwa wa kwanza ktk siasa za dunia kucheza haka kamchezo unakacheza ila mbaya zaidi pale unagusa ndio panaleta mashaka makubwa kwa kila mtu anayewaza vyema.

Huyu Prof Assad unayepambana naye mimi nataka kukuambia tu unapambana kwa hoja zisizo na nguvu kiasi wenye akili badala ya kuku support wamekaa kimya tena kimya kizito kiasi hata wewe unatishika na ukimya huu, ila nataka tu kukwambia wewe ni Spika na utakuwa ndie Spika ila kumbuka kuna mfumo huo kamwe huwezi kuutikisa sana sana unajitikisa mwenyewe kwa hoja ambazo sasa zimetoka kuwa hoja na kuwa maswali magumu yasio na majibu.

Hivi kweli Spika wewe una uchungu na kodi za wa lala hoi kweli? na kama jibu ndio je unafikiri hiki kitu ofisi yako imekianzisha kinaweza kuwa na majibu chanya ya kuwapa wananchi ama unawafanya watanzania waamini kwamba bunge pia linashirikiana na Serikali kuhujumu ofisi ya CAG kwa maslahi binafsi tusioyajua.

Kiukweli hapa ndipo hata Rais nadhani anakosa ujasiri kuungana na wewe kwenye hili suala la CAG. Serikali kwa kuona mbali na kujua dhamana kubwa aliyo nayo CAG inakwepa hoja zako kuepusha kituko cha mwaka ktk taifa. Kiukweli mashaka tunayo ktk hili.

Pili uliwaza nini mpaka kufikiria eti kwa kuwa tu umeamua kutofanya kazi na Prof Assad basi kesho yake atajiuzulu? Kweli kama kuna mtu alikulisheni hili tango pori walahi mtadhurika nalo maana Prof hatojiuzulu na mbaya zaidi hili wazo lenu limeleta maswali mengi kuliko majibu rahisi mnayotoa.

Tatu mimi naamini Rais ni taasisi sasa kumwambia Prof akajieleze kwa Rais bila kuitwa nalo hili limekuacha mtupu ktk mpango wako maana CAG hakuna mahali panasema kwakuwa Bunge hamfanyi kazi naye basi akajieleze kwa Rais hakuna hicho kipengele.

Mwisho mimi naona kuna kitu mkuu wakitafuta ila sina uhakika utakipata na napata shida sana unavyomtisha Prof eti mtamuonesha Bunge sio la kuchezewa sasa mtamuonesha nini?

Well, nashauri wanasiasa na viongozi wote wa vyama na Serikali kupima nafasi zetu na kauli zetu kabla ya kuziongea kwa sababu hakuna marefu yasiokuwa na ncha, pia kuwa kiongozi sio kufikiri utafanya lolote unafikiri utalifanya ipo nguvu zaidi ya bunge ipo nguvu zaidi ya viongozi wapo ktk madaraka na nguvu hii ni msaafu wetu Katiba.

Tukifikiri tutafanya vile tunafanya na kuweka maazimio ambayo kesho yake ni wembe mkali unatukata basi tusilie unapotukata. Kwa hili Mh Spika ninaamini umeanzisha jambo ambalo badala ya kumkosesha usingizi uliemkusudia linakukosesha usingizi mwenyewe na mara zote hubaki kuwa majuto ni mjukuu.
 
Basi likipigwa faini na trafiki kwa kwenda mwendo kasi, tafsiri yake ni kuwa abiria wamekuwa dhaifu katika kumsimamia dereva, dereva amekuwa dhaifu katika kuzitekeleza sheria zinazomuongoza.
Ingawaje dereva ndie atakae lalamika sana, lakini ukweli ni kwamba basi zima ni dhaifu.
Ikatokea abiria mmoja akapaza sauti kwa kumsapoti trafiki aliyelipiga faini basi, halafu dereva akaamua kumshusha njiani kisha abiria wenzake wakakaa kimya, huo nao ni udhaifu wa dereva na abiria anaoendelea nao mbele.
#nasimamanatrafiki
 
Mh Spika wewe hutokuwa wakwanza ktk siasa za dunia kucheza haka kamchezo unakacheza ila mbaya zaidi pale unagusa ndio panaleta mashaka makubwa kwa kila mtu anaye wazavyema.

Huyu Prof Assad unaye pambana naye mimi nataka kukuambia tu unapambana kwa hoja zisizo na nguvu kiasi wenye akili badala ya kuku support wamekaa kimya tena kimya kizito kiasi hata wewe unatishika na ukimya huu, ila nataka tu kukwambia wewe ni Spika na utakuwa ndie spika ila kumbuka kuna mfumo huwo kamwe huwezi kuutikisa sana sana unajitikisa mwenyewe kwa hoja ambazo sasa zimetoka kuwa hoja na kuwa maswali magumu yasio na majibu.

Hivi kweli kabia mh Spika wewe una uchungu na kodi za wa lala hoi kweli? na kama jibu ndio je unafikiri hiki kitu ofisi yako imekianzisha kinweza kuwa na majibu chanya yaku wapa wananchi ama unawfanya watanzania waamini kwamba bunge pia linashirikiana na serikali kuhujumu ofisi ya CAG kwa masilahi binafsi tusio yajuwa. Kiukweli hapa ndipo hata Rais nadhani anakosa ujasiri kuungana na wewe kwenye hili swala la CAG. Serikali kwakuona mbali nakujuwa dhamana kubwa alio nayo CAG inakuhepa hoja zako kuepusha kituko cha mwaka ktk taifa. Kiukweli mashaka tunayo ktk hili.

Pili uliwaza nini mpaka kufikiria eti kwakuwa tu umeamuwa kutofanya kazi na Prof Assad basi kesho yake atajiuzulu? kweli kama kuna mtu alikulisheni hili tango pori walahi mtadhurika nalo maana Prof hatojiuzulu na mbaya zaidi hili wazo lenu limeleta maswali mengi kuliko majibu rahisi mnayo toa.

Tatu mimi na amin Rais ni taasisi sasa kumwambia prof akajieleze kwa Rais bila kuitwa nalo hili limekuacha mtupu ktk mpango wako maana CAG hakuna mahali panasema kwakuwa bunge hamfanyi kazi naye basi akajieleze kwa Rais hakuna hiko kipengele.

Mwisho mimi naona kuna kitu mkuu wakitafuta ila sina huwakika utakipata na napata shida sana unavyo mtisha Prof eti mtamuonyesha Bunge sio lakuchezewa sasa mtamuonyesha nini??

well nashauri wanasiasa na viongozi wote wa vyama na serikali kupima nafasi zetu na kauli zetu kabla yakuziongea kwa sababu hakuna marefu yasio kuwa na ncha, pia kuwa kiongoz sio kufikiri utafanya lolote unafikiri utalifanya ipo nguvu zaidi ya bunge ipo nguvu zaid ya viongoz wapo ktk madaraka na nguvu hii ni msaafu wetu katiba. Tukifikiri tutafanya vile tunafanya nakuweka maazimio ambayo kesho yake ni wembe mkali unatukata basi tusilie unapo tukata. kwa hili Mh Spika nina amini umeanzisha jambo ambalo badala yakumkosesha usingizi ulie mkusudia linakukosesha usingiz mwenyewe. na mara zote hubaki kuwa majuto ni mjukuu.
Eti kodi za walala hoi, kama una ona Jina walala hoi linapendeza basi jiite wewe.

Mnala wa babeli. Hahahahahaaa
 
Spika Ndugai wewe hutokuwa wa kwanza ktk siasa za dunia kucheza haka kamchezo unakacheza ila mbaya zaidi pale unagusa ndio panaleta mashaka makubwa kwa kila mtu anayewaza vyema.

Huyu Prof Assad unayepambana naye mimi nataka kukuambia tu unapambana kwa hoja zisizo na nguvu kiasi wenye akili badala ya kuku support wamekaa kimya tena kimya kizito kiasi hata wewe unatishika na ukimya huu, ila nataka tu kukwambia wewe ni Spika na utakuwa ndie Spika ila kumbuka kuna mfumo huo kamwe huwezi kuutikisa sana sana unajitikisa mwenyewe kwa hoja ambazo sasa zimetoka kuwa hoja na kuwa maswali magumu yasio na majibu.

Hivi kweli Spika wewe una uchungu na kodi za wa lala hoi kweli? na kama jibu ndio je unafikiri hiki kitu ofisi yako imekianzisha kinaweza kuwa na majibu chanya ya kuwapa wananchi ama unawafanya watanzania waamini kwamba bunge pia linashirikiana na Serikali kuhujumu ofisi ya CAG kwa maslahi binafsi tusioyajua.

Kiukweli hapa ndipo hata Rais nadhani anakosa ujasiri kuungana na wewe kwenye hili suala la CAG. Serikali kwa kuona mbali na kujua dhamana kubwa aliyo nayo CAG inakwepa hoja zako kuepusha kituko cha mwaka ktk taifa. Kiukweli mashaka tunayo ktk hili.

Pili uliwaza nini mpaka kufikiria eti kwa kuwa tu umeamua kutofanya kazi na Prof Assad basi kesho yake atajiuzulu? Kweli kama kuna mtu alikulisheni hili tango pori walahi mtadhurika nalo maana Prof hatojiuzulu na mbaya zaidi hili wazo lenu limeleta maswali mengi kuliko majibu rahisi mnayotoa.

Tatu mimi naamini Rais ni taasisi sasa kumwambia Prof akajieleze kwa Rais bila kuitwa nalo hili limekuacha mtupu ktk mpango wako maana CAG hakuna mahali panasema kwakuwa Bunge hamfanyi kazi naye basi akajieleze kwa Rais hakuna hicho kipengele.

Mwisho mimi naona kuna kitu mkuu wakitafuta ila sina uhakika utakipata na napata shida sana unavyomtisha Prof eti mtamuonesha Bunge sio la kuchezewa sasa mtamuonesha nini?

Well, nashauri wanasiasa na viongozi wote wa vyama na Serikali kupima nafasi zetu na kauli zetu kabla ya kuziongea kwa sababu hakuna marefu yasiokuwa na ncha, pia kuwa kiongozi sio kufikiri utafanya lolote unafikiri utalifanya ipo nguvu zaidi ya bunge ipo nguvu zaidi ya viongozi wapo ktk madaraka na nguvu hii ni msaafu wetu Katiba.

Tukifikiri tutafanya vile tunafanya na kuweka maazimio ambayo kesho yake ni wembe mkali unatukata basi tusilie unapotukata. Kwa hili Mh Spika ninaamini umeanzisha jambo ambalo badala ya kumkosesha usingizi uliemkusudia linakukosesha usingizi mwenyewe na mara zote hubaki kuwa majuto ni mjukuu.
Usirukeruke go straight to the point. Mhusika mkuu wa huu mchezo ni Jiwe ambaye anataka kuweka CAG wake full stop.
 
Absolutely true

Lakini process ya kumtumbua CAG. Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, ya mwaka 1977, ndiyo imemshinda

Yeye alidhani kuwa CAG atamtumbua kirahisi kama afanyavyo kwa wateule wake wengine??
 
ndugai hana cha kupoteza kwa sasa,,,kama hela anazo,family anayo inakula vizuri hata mungu akimchukua na hakika ataiachia family yake hela za kutosha tu na lazima amejenga na kajumba pia,na hamuwezio kukataifisha kamwe,hata mkikataifisha miaka ya mbele yeye hatakuwepo waaliobaki watajiJEIJEI
 
Basi likipigwa faini na trafiki kwa kwenda mwendo kasi, tafsiri yake ni kuwa abiria wamekuwa dhaifu katika kumsimamia dereva, dereva amekuwa dhaifu katika kuzitekeleza sheria zinazomuongoza.
Ingawaje dereva ndie atakae lalamika sana, lakini ukweli ni kwamba basi zima ni dhaifu.
Ikatokea abiria mmoja akapaza sauti kwa kumsapoti trafiki aliyelipiga faini basi, halafu dereva akaamua kumshusha njiani kisha abiria wenzake wakakaa kimya, huo nao ni udhaifu wa dereva na abiria anaoendelea nao mbele.
#nasimamanatrafiki
Mfano gani huu!. Usimamizi wowote rasmi lazima utakuwa na muongozo(guidelines). Wapi unapanda basi na ukapewa muongozo wa kazi ya kumsimamia dereva?
 
umeandika kwa uchiungu sana mkuu

Ila kwa ninacho kiona mimi ni spika wa bunge tukufu anapiga maslahi yake binasfi hakuna asie jua kuhusu ili

Hapiganii bunge kuitwa dhaifu wala nini
 
Kazi ya Spika amefanya bunge kubeba uchafu wa serikali!
CAG
akihoji bunge linasimama kulinda na kutetea uozo wa Gvt!!
 
Tabia ya kuitwa maskini,mafukara, sijui wanyonge eti walala hoi ni mbaya!!
Viongozi acheni hizo lugha. za kejeli!!
Watanzania tusikubali ndio maana tunadhulumiwa!!
Unalinda bilion. kumbe Trilion zinazamishwa bila kujulikana!!
 
Mfano gani huu!. Usimamizi wowote rasmi lazima utakuwa na muongozo(guidelines). Wapi unapanda basi na ukapewa muongozo wa kazi ya kumsimamia dereva?
kama umeshindwa kuelewa hapo na wewe una udhaifu
 
Spika Ndugai wewe hutokuwa wa kwanza ktk siasa za dunia kucheza haka kamchezo unakacheza ila mbaya zaidi pale unagusa ndio panaleta mashaka makubwa kwa kila mtu anayewaza vyema.

Huyu Prof Assad unayepambana naye mimi nataka kukuambia tu unapambana kwa hoja zisizo na nguvu kiasi wenye akili badala ya kuku support wamekaa kimya tena kimya kizito kiasi hata wewe unatishika na ukimya huu, ila nataka tu kukwambia wewe ni Spika na utakuwa ndie Spika ila kumbuka kuna mfumo huo kamwe huwezi kuutikisa sana sana unajitikisa mwenyewe kwa hoja ambazo sasa zimetoka kuwa hoja na kuwa maswali magumu yasio na majibu.

Hivi kweli Spika wewe una uchungu na kodi za wa lala hoi kweli? na kama jibu ndio je unafikiri hiki kitu ofisi yako imekianzisha kinaweza kuwa na majibu chanya ya kuwapa wananchi ama unawafanya watanzania waamini kwamba bunge pia linashirikiana na Serikali kuhujumu ofisi ya CAG kwa maslahi binafsi tusioyajua.

Kiukweli hapa ndipo hata Rais nadhani anakosa ujasiri kuungana na wewe kwenye hili suala la CAG. Serikali kwa kuona mbali na kujua dhamana kubwa aliyo nayo CAG inakwepa hoja zako kuepusha kituko cha mwaka ktk taifa. Kiukweli mashaka tunayo ktk hili.

Pili uliwaza nini mpaka kufikiria eti kwa kuwa tu umeamua kutofanya kazi na Prof Assad basi kesho yake atajiuzulu? Kweli kama kuna mtu alikulisheni hili tango pori walahi mtadhurika nalo maana Prof hatojiuzulu na mbaya zaidi hili wazo lenu limeleta maswali mengi kuliko majibu rahisi mnayotoa.

Tatu mimi naamini Rais ni taasisi sasa kumwambia Prof akajieleze kwa Rais bila kuitwa nalo hili limekuacha mtupu ktk mpango wako maana CAG hakuna mahali panasema kwakuwa Bunge hamfanyi kazi naye basi akajieleze kwa Rais hakuna hicho kipengele.

Mwisho mimi naona kuna kitu mkuu wakitafuta ila sina uhakika utakipata na napata shida sana unavyomtisha Prof eti mtamuonesha Bunge sio la kuchezewa sasa mtamuonesha nini?

Well, nashauri wanasiasa na viongozi wote wa vyama na Serikali kupima nafasi zetu na kauli zetu kabla ya kuziongea kwa sababu hakuna marefu yasiokuwa na ncha, pia kuwa kiongozi sio kufikiri utafanya lolote unafikiri utalifanya ipo nguvu zaidi ya bunge ipo nguvu zaidi ya viongozi wapo ktk madaraka na nguvu hii ni msaafu wetu Katiba.

Tukifikiri tutafanya vile tunafanya na kuweka maazimio ambayo kesho yake ni wembe mkali unatukata basi tusilie unapotukata. Kwa hili Mh Spika ninaamini umeanzisha jambo ambalo badala ya kumkosesha usingizi uliemkusudia linakukosesha usingizi mwenyewe na mara zote hubaki kuwa majuto ni mjukuu.
Mkuu, umenena vyema sana. Hapa umeamua kuweka chama pembeni na kusema ukweli. Ukweli utakuweka huru, Hongera sana mkuu kwa kuona uovu na upotovu wa Speaker ambaye anajaribu kupambana na CAG, vita ambayo ameshindwa mapema sana lakini yeye bado anahangaika. Sijui nini kinawasumbua wabunge wa CCM ambao waliamua kumuunga mkono Ndugai na Azimio lake na kwa pamoja wakalipitisha na sasa aibu ni yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Spika Ndugai wewe hutokuwa wa kwanza ktk siasa za dunia kucheza haka kamchezo unakacheza ila mbaya zaidi pale unagusa ndio panaleta mashaka makubwa kwa kila mtu anayewaza vyema.

Huyu Prof Assad unayepambana naye mimi nataka kukuambia tu unapambana kwa hoja zisizo na nguvu kiasi wenye akili badala ya kuku support wamekaa kimya tena kimya kizito kiasi hata wewe unatishika na ukimya huu, ila nataka tu kukwambia wewe ni Spika na utakuwa ndie Spika ila kumbuka kuna mfumo huo kamwe huwezi kuutikisa sana sana unajitikisa mwenyewe kwa hoja ambazo sasa zimetoka kuwa hoja na kuwa maswali magumu yasio na majibu.

Hivi kweli Spika wewe una uchungu na kodi za wa lala hoi kweli? na kama jibu ndio je unafikiri hiki kitu ofisi yako imekianzisha kinaweza kuwa na majibu chanya ya kuwapa wananchi ama unawafanya watanzania waamini kwamba bunge pia linashirikiana na Serikali kuhujumu ofisi ya CAG kwa maslahi binafsi tusioyajua.

Kiukweli hapa ndipo hata Rais nadhani anakosa ujasiri kuungana na wewe kwenye hili suala la CAG. Serikali kwa kuona mbali na kujua dhamana kubwa aliyo nayo CAG inakwepa hoja zako kuepusha kituko cha mwaka ktk taifa. Kiukweli mashaka tunayo ktk hili.

Pili uliwaza nini mpaka kufikiria eti kwa kuwa tu umeamua kutofanya kazi na Prof Assad basi kesho yake atajiuzulu? Kweli kama kuna mtu alikulisheni hili tango pori walahi mtadhurika nalo maana Prof hatojiuzulu na mbaya zaidi hili wazo lenu limeleta maswali mengi kuliko majibu rahisi mnayotoa.

Tatu mimi naamini Rais ni taasisi sasa kumwambia Prof akajieleze kwa Rais bila kuitwa nalo hili limekuacha mtupu ktk mpango wako maana CAG hakuna mahali panasema kwakuwa Bunge hamfanyi kazi naye basi akajieleze kwa Rais hakuna hicho kipengele.

Mwisho mimi naona kuna kitu mkuu wakitafuta ila sina uhakika utakipata na napata shida sana unavyomtisha Prof eti mtamuonesha Bunge sio la kuchezewa sasa mtamuonesha nini?

Well, nashauri wanasiasa na viongozi wote wa vyama na Serikali kupima nafasi zetu na kauli zetu kabla ya kuziongea kwa sababu hakuna marefu yasiokuwa na ncha, pia kuwa kiongozi sio kufikiri utafanya lolote unafikiri utalifanya ipo nguvu zaidi ya bunge ipo nguvu zaidi ya viongozi wapo ktk madaraka na nguvu hii ni msaafu wetu Katiba.

Tukifikiri tutafanya vile tunafanya na kuweka maazimio ambayo kesho yake ni wembe mkali unatukata basi tusilie unapotukata. Kwa hili Mh Spika ninaamini umeanzisha jambo ambalo badala ya kumkosesha usingizi uliemkusudia linakukosesha usingizi mwenyewe na mara zote hubaki kuwa majuto ni mjukuu.
Hawezi kuona amelewa madaraka
 
Sasa mkuu kwanini huko Lumumba kikao mlichokaa jana pale dodoma msije na azimio la kumshinikiza spika ajiuzuru na awaombe msamaha wapiga kura wake kwa ujinga alioufanya na anaoendelea kuufanya..
 
Back
Top Bottom