lino livava
Member
- Feb 14, 2021
- 80
- 80
Nadhani baada ya kuona salary slip ya mama haisomi kwa hao wakurugenzi ameamua kubwabwaja hayoHivi mke wa Ndungai nae si ni DED wa wilaya flani na juzi report ya CAG imeonyesha kwny hio ofisi kuna upigaji?

Hahahaaaa....... Mambo ya kifamilia hayo bwashee!Nadhani baada ya kuona salary slip ya mama haisomi kwa hao wakurugenzi ameamua kubwabwaja hayo
Si JMT tu, huyu ni kwa Afrika yote.Mgonjwa wa gharama zaidi ya wote katika JMT.
Huyu shetani ana roho mbaya sn, mbona yeye analipwa vizuri hasemiSpika Ndugai ameshangazwa na serikali kuwalipa mishahara mikubwa wakurugenzi wa mamlaka ya maji na ile ya barabara za vijijini ambayo ni zaidi ya mishahara wanayolipwa Wakurugenzi wa wilaya.
Ndugai amesema hayo akimuunga mkono mbunge wa Gairo mh Shabiby aliyedai wakurugenzi wa Tarura na Ruwasa wamejigeuza miungu watu.
Ramadhan Kareem!
Kumbukeni Ndungai mke wake ni DED wa Bahi- asije akawa na conflict of interestSpika Ndugai ameshangazwa na serikali kuwalipa mishahara mikubwa wakurugenzi wa mamlaka ya maji na ile ya barabara za vijijini ambayo ni zaidi ya mishahara wanayolipwa Wakurugenzi wa wilaya.
Ndugai amesema hayo akimuunga mkono mbunge wa Gairo mh Shabiby aliyedai wakurugenzi wa Tarura na Ruwasa wamejigeuza miungu watu.
Ramadhan Kareem!
Ndiyo anataka alipwe vizuri mke wake, shetani mkubwa huyuHivi mke wa Ndungai nae si ni DED wa wilaya flani na juzi report ya CAG imeonyesha kwny hio ofisi kuna upigaji?
Bora ikate huyu shetaniKwani spika kwanini hajabadili Sheria za utumishi wa umma na mahusiano kazini ?
Yeye spika angeongea na waziri husika muswada ungepitishwa tu .
Mbona Msukuma wa darasa la 7 analipwa pesa nyingi kuliko senior engineer wa Tanroads?
Huyu spika pumzi yake karibu itakatwa tu amfuate Meko muuni mwenzake
Ndicho kilichoKumbukeni Ndungai mke wake ni DED wa Bahi- asije akawa na conflict of interest
Ni mpuuzi kabisa hataki wenzake walipwe vizuriPamoja na yote,Baba anatetea mkate wa Mama pia.....Ndugai hoyeee
Akili za kimaskini mkuuNi mpuuzi kabisa hataki wenzake walipwe vizuri
Ndugai ni laana kwa taifaAkili za kimaskini mkuu
umeongea bonge la point aiseeeeKwani spika kwanini hajabadili Sheria za utumishi wa umma na mahusiano kazini ?
Yeye spika angeongea na waziri husika muswada ungepitishwa tu .
Mbona Msukuma wa darasa la 7 analipwa pesa nyingi kuliko senior engineer wa Tanroads?
Huyu spika pumzi yake karibu itakatwa tu amfuate Meko muuni mwenzake
Aliliwa akatelekezwaSioni muunganiko!
Ded ni boss wa wilaya!Akili za kimaskini mkuu
Kwani Ndungai sio mbunge au apaswi kuchangia chochote kama spika?Kwahiyo wakurugenzi wasimzidi mkewe mshahara??.
Yeye anajua limitation za uspika wake?
Au anajiona anaweza ropoka chochote?
Huyu Spika ni wa hovyo kabisaSpika Ndugai ameshangazwa na serikali kuwalipa mishahara mikubwa wakurugenzi wa mamlaka ya maji na ile ya barabara za vijijini ambayo ni zaidi ya mishahara wanayolipwa Wakurugenzi wa wilaya.
Ndugai amesema hayo akimuunga mkono mbunge wa Gairo mh Shabiby aliyedai wakurugenzi wa Tarura na Ruwasa wamejigeuza miungu watu.
Ramadhan Kareem!
Bahati mbaya na waliemtungia mapambio hayupo.Kwa sasa cdm hawapo kwenye train yenu, nendeni wenyewe huku mkiimba mapambio mliyotunga wenyewe.
DED Bahi... naona nduguyai anaumia mkewe kuzidiwa mshahara na Mameneja wa TARURAHivi mke wa Ndungai nae si ni DED wa wilaya flani na juzi report ya CAG imeonyesha kwny hio ofisi kuna upigaji?