Spika Ndugai: Wakurugenzi wa TARURA na RUWASA wanalipwa mishahara mikubwa kuliko Ma - DED yalivyo mambo ya ajabu

Sijawahi kuona kiumbe kijinga kama wafuasi wa chadema.

Mbowe apata chanjo ya corona
 
Kwani awamu ya tano Ndugai alikuwa siyo mmoja wao?
Akapimwe akili. Kikatiba Bunge lina wajibu kuisimamia serikali. Ndani ya hiyo serikali yeye alikuwa spika. Alichukua hatua zipi? Anajitukana, anaepatikana wote waliokuwa serikali hiyo ikiwa ni pamoja na rais wa sasa. Ndugai hufai, na kama ni gazeti, hufai hata kwa kufungia milungi.
 
Awamu iliyipita ilikuwa na Mambo ya ajabu kabisa.. Job Ndugai, Spika wa Bunge La Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

View attachment 1753031
Inasemekana mkewe ni DED. Anapambana mkewe naye apewe hadhi ya uspika. Jinsi siku zinavyoenda ndivyo picha halisi ya Ndugai inajitokeza. Hastahili kuwa kwenye kiti anachokalia. Haaminiki maana anabadilika jinsi upepo unavyovuma.

Anapambania maslahi binafsi na ya familia yake. In fact sijui kama ataweza tena kurudi pale kwenye kile kiti
 
Nikikutana na Prof Assad lazima nimuulizie kwanini aliitwa na bunge wakati ishara zote za alichoongea ziko wazi
 
Ndugai aelewe kwamba mshahara wa mil. 12, posho zaidi ya 350,000/= kwa siku, mkopo wa zaidi ya mil. 90 wa gari na kiinua mgongo ndani ya miaka mitano zaidi ya mil. 250 kwa wagonga meza ni upotevu mkubwa kwa pesa za umma kwani bunge limejaa vilaza hadi wenye elimu ya darasa la saba ambao wamegeuza bunge kuwa kijiwe cha mipasho na kugonga gonga meza.

kama vilaza tu wanaweza kulipwa pesa zote hizo, inakuwaje wakurugenzi wa TARURA na RUWASA ambao ni wasomi wa kiwango cha juu na wamebobea kwenye taaluma zao, wasilipwe mishahara mikubwa hata mara kumi zaidi ya wagonga meza...
 
Ndungayiiii, ni umbwa kama umbwa zingine! Hivi wale jamaa wa darasa la 7 B wamemsikia?
 
Back
Top Bottom