Spika Ndugai: Wakurugenzi wa TARURA na RUWASA wanalipwa mishahara mikubwa kuliko maDED yalivyo mambo ya ajabu

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
44,322
2,000
Halafu unashangaa mijitu kama kina Lusinde Kibajaj na Msukuma Kasheku (CLASS 7)wanasimama Bungeni kuunga mkono ujinga, ubazazi na uvuta bhang na Spika ati anatenga muda "maalumu " ili vichaa hao waongee kuwatukana CHADEMA na Wasomi wa kiwango cha Professors!?? Nonsense.
Kibajaji aombewa udaktari wa heshima!
 

Mzalendo2015

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
6,526
2,000
Tanzania kwenye ulipwaji wa mishahara kuna serikali nyingi.
CCM ndiyo chanzo za hizi crisis kwenye nchi hii!
Siyo midhshara tu kuna maswala mengi sana yanayohusu Watumishi yamekaa zigzag! Mfano mwingine Mubashara ni mifuko ya Kijamii kwa Watumishi wa Umma na Serikali:
Leo Mwalimu akistaafu ngazi ya Certificate tu na mshahara wa kawaida ataondoka na zaidi ya Milioni 100 mpaka Milioni 150 .
Anastahafu mtumishi wa Umma ngazi ya Diploma au Degree kwa idadi ya miaka ya Utumishi ileile na mshahara mkubwa kuliko Mwalimu analipwa mafao ya milioni 30 mpaka 50 milioni!!
Wabunge wanakaa Bungeni miaka 5 tu wanapomaliza Bunge wanalipwa hata kabla ya Bunge kuvunjwa kati ya Milioni 270 mpaka Milioni 400 kutegemea na cheo alichokuwa nacho e.g. Waziri, Spika au N/Spika.
Tanzania ni nchi ya ajabu sana.
 

MANILABHONA

JF-Expert Member
Apr 1, 2015
459
500
Spika Ndugai ameshangazwa na serikali kuwalipa mishahara mikubwa wakurugenzi wa mamlaka ya maji na ile ya barabara za vijijini ambayo ni zaidi ya mishahara wanayolipwa Wakurugenzi wa wilaya.

Ndugai amesema hayo akimuunga mkono mbunge wa Gairo mh Shabiby aliyedai wakurugenzi wa Tarura na Ruwasa wamejigeuza miungu watu.

Ramadhan Kareem!
Huyu nae ndumilakuwili mchumia tumbo, mbona hashangai Wabunge na maspika kulipwa mshahara mkubwa kuliko walimu. Kuna anaezidi kazi ya mwalimu? Hawa ndo walistahili mshahara mnono, lakini kwa Tanzania hizo ni ndoto
 

PhD

JF-Expert Member
Jul 15, 2009
4,080
2,000
Kwahiyo wakurugenzi wasimzidi mkewe mshahara??.
Yeye anajua limitation za uspika wake?
Au anajiona anaweza ropoka chochote?
Mhe. Rais kama anasikiliza aanze kwa kumuondoa Mke wa Ndugai kama DED wa Bahi Dodoma, Ndugai hana ethics za kazi kabisa kwa kila jambo kulifananaisha na maslahi ya mkewe. Upuuzi sana huu.
 

my take

Senior Member
Jul 28, 2015
189
500
Yeye anaongelea mkurugenzi yupi wa Tarura na Ruwasa.
Hakuna cheo hicho TARURA NA RUWASA, mbali vyeo vyao ni District manager na Regional coordinator, mishahara yao ni midogo kuliko DED.
Wabunge na Madiwani wamekasirika kwa sababu TARURA na RUWASA wanajiendesha kwa uhuru kuliko walivyokuwa ujenzi na idara ya maji katika halmashauri.
 

defence

JF-Expert Member
Aug 13, 2008
573
500
Spika Ndugai ameshangazwa na serikali kuwalipa mishahara mikubwa wakurugenzi wa mamlaka ya maji na ile ya barabara za vijijini ambayo ni zaidi ya mishahara wanayolipwa Wakurugenzi wa wilaya.

Ndugai amesema hayo akimuunga mkono mbunge wa Gairo mh Shabiby aliyedai wakurugenzi wa Tarura na Ruwasa wamejigeuza miungu watu.

Ramadhan Kareem!
Duh huyu si inasemekana yule DED wa BAHI ndio Bi Mkubwa wake, na nimeona CAG katoa angalizo kwenye hii Wilaya? Au ndio kupigia Debe akiongezewa Tumshahara then atapata HATI safi ya CAG? 😂😂😂😂😇😇😇😇 Ni wazo tu wajumbe
 

Mzalendo2015

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
6,526
2,000
Mhe. Rais kama anasikiliza aanze kwa kumuondoa Mke wa Ndugai kama DED wa Bahi Dodoma, Ndugai hana ethics za kazi kabisa kwa kila jambo kulifananaisha na maslahi ya mkewe. Upuuzi sana huu.
CCM walibugi sana kumchagua huyu jamaa wa kigogo kama Spika...Very very shallow minded🤩
 

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
8,556
2,000
Awamu iliyipita ilikuwa na Mambo ya ajabu kabisa.. Job Ndugai, Spika wa Bunge La Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

mangekimambi__1618508802654.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom