Spika Ndugai: Wakurugenzi wa TARURA na RUWASA wanalipwa mishahara mikubwa kuliko maDED yalivyo mambo ya ajabu

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
44,322
2,000
Naona mkuu kama kapagawa hivi ....
Kabla ya kuwasema hao wakuu wenzao wangetaja ya kwao ilitujue kama tuna zika au kusafirisha.

hao n wataaluma waacheni walipwe hivyo hivyo tu....

Kwani maded ndio nani kwenye hii nchi?
MaDED ndio wasimamizi wa uchaguzi!
 
Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
45,030
2,000
Spika Ndugai ameshangazwa na serikali kuwalipa mishahara mikubwa wakurugenzi wa mamlaka ya maji na ile ya barabara za vijijini ambayo ni zaidi ya mishahara wanayolipwa Wakurugenzi wa wilaya.

Ndugai amesema hayo akimuunga mkono mbunge wa Gairo mh Shabiby aliyedai wakurugenzi wa Tarura na Ruwasa wamejigeuza miungu watu.

Ramadhan Kareem!
Huyu shetani ana roho mbaya sn, mbona yeye analipwa vizuri hasemi
 
  • Thanks
Reactions: SCE

The Elephant

JF-Expert Member
Dec 18, 2014
4,333
2,000
Spika Ndugai ameshangazwa na serikali kuwalipa mishahara mikubwa wakurugenzi wa mamlaka ya maji na ile ya barabara za vijijini ambayo ni zaidi ya mishahara wanayolipwa Wakurugenzi wa wilaya.

Ndugai amesema hayo akimuunga mkono mbunge wa Gairo mh Shabiby aliyedai wakurugenzi wa Tarura na Ruwasa wamejigeuza miungu watu.

Ramadhan Kareem!
Kumbukeni Ndungai mke wake ni DED wa Bahi- asije akawa na conflict of interest
 
Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
45,030
2,000
Kwani spika kwanini hajabadili Sheria za utumishi wa umma na mahusiano kazini ?
Yeye spika angeongea na waziri husika muswada ungepitishwa tu .
Mbona Msukuma wa darasa la 7 analipwa pesa nyingi kuliko senior engineer wa Tanroads?
Huyu spika pumzi yake karibu itakatwa tu amfuate Meko muuni mwenzake
Bora ikate huyu shetani
 
Don Nzoko

JF-Expert Member
Jan 6, 2020
274
500
Kwani spika kwanini hajabadili Sheria za utumishi wa umma na mahusiano kazini ?
Yeye spika angeongea na waziri husika muswada ungepitishwa tu .
Mbona Msukuma wa darasa la 7 analipwa pesa nyingi kuliko senior engineer wa Tanroads?
Huyu spika pumzi yake karibu itakatwa tu amfuate Meko muuni mwenzake
umeongea bonge la point aiseeee
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom