Spika Ndugai: Wakurugenzi wa TARURA na RUWASA wanalipwa mishahara mikubwa kuliko Ma - DED yalivyo mambo ya ajabu

Spika Ndugai ameshangazwa na serikali kuwalipa mishahara mikubwa wakurugenzi wa mamlaka ya maji na ile ya barabara za vijijini ambayo ni zaidi ya mishahara wanayolipwa Wakurugenzi wa wilaya.

Ndugai amesema hayo akimuunga mkono mbunge wa Gairo mh Shabiby aliyedai wakurugenzi wa Tarura na Ruwasa wamejigeuza miungu watu.

Ramadhan Kareem!
Huyu shetani ana roho mbaya sn, mbona yeye analipwa vizuri hasemi
 
Spika Ndugai ameshangazwa na serikali kuwalipa mishahara mikubwa wakurugenzi wa mamlaka ya maji na ile ya barabara za vijijini ambayo ni zaidi ya mishahara wanayolipwa Wakurugenzi wa wilaya.

Ndugai amesema hayo akimuunga mkono mbunge wa Gairo mh Shabiby aliyedai wakurugenzi wa Tarura na Ruwasa wamejigeuza miungu watu.

Ramadhan Kareem!
Kumbukeni Ndungai mke wake ni DED wa Bahi- asije akawa na conflict of interest
 
Kwani spika kwanini hajabadili Sheria za utumishi wa umma na mahusiano kazini ?
Yeye spika angeongea na waziri husika muswada ungepitishwa tu .
Mbona Msukuma wa darasa la 7 analipwa pesa nyingi kuliko senior engineer wa Tanroads?
Huyu spika pumzi yake karibu itakatwa tu amfuate Meko muuni mwenzake
Bora ikate huyu shetani
 
umeongea bonge la point aiseeee
 
Spika Ndugai ameshangazwa na serikali kuwalipa mishahara mikubwa wakurugenzi wa mamlaka ya maji na ile ya barabara za vijijini ambayo ni zaidi ya mishahara wanayolipwa Wakurugenzi wa wilaya.

Ndugai amesema hayo akimuunga mkono mbunge wa Gairo mh Shabiby aliyedai wakurugenzi wa Tarura na Ruwasa wamejigeuza miungu watu.

Ramadhan Kareem!
Huyu Spika ni wa hovyo kabisa
 
Ila kiukweli siioni faida ya uwepo wa TARURA kwani Performance yake ipo chini sana ukilinganisha na kipindi ambacho kazi zake zilikuwa chini ya halmashauri husika.

Nazani moja kati ya vitu ambavyo mwendazake alikosea TARURA ni moja wapo.

Rais mama Samia naomba uingalie TARURA upya kama inastahili kuwepo au na yenyewe iondoke
 
Back
Top Bottom