Spika Ndugai tangu sherehe za Uhuru amehamia Chato na Mwanza utadhani ndio Kongwa

Kifungu gani ndani yakatiba inasemasiasa ifanywe mda wote?. Nijibu nisome
Tulia na kisha soma vizuri! Hakuna palipoandikwa :mda wote" kama unavyopindisha ukweli. "Tofautisha kufanya siasa mahali popote Tanzania" na kufanya "siasa mda wote" Watu wa ccm bhana shida tu, yaani wanapenda kulisha watu maneno
 
Kuna viongozi wawili wakubwa nchi hii kwa kweli wanafedhehesha sana taifa, Spika Ndugai na Jaji Mkuu Ibrahim Juma.

Imagine hawa jamaa tangu kabla na baada ya sherehe za Uhuru zilizofanyika Mwanza Desemba 9 wamekuwa wakiishi Chato na Mwanza utafikiri ndo makwao yan, kwamba ni kwao na Spika Ndugai Kongwa, au Tarime kwa Profesa Juma.

Akili gani hii wanaume tena viongozi wakubwa wanakosa kuwajibika hadi wanahama makwao na kwenda kuishi ugenini, kwenye familia nyingine? Tabia mbaya sanaaa!

Hapo maana yake hata mwenyeji wao akitoka kwenda shamba nao wanaambatana naye, akitoka kwenda kuchunga ng'ombe wake na wao wanakwenda, halaf badae waje kutusimulia wakishastaafu kuwa walikuwa wanakwenda Chato kulimishwa shamba au kuchungishwa ng'ombe as if that is manhood to them😬

Grow some balls men, ni taifa ndo limewaheshimisha mkapata mamlaka makubwa, siyo demigod flan wa Koromije huko, chee!

Hivi Bunge la Tanzania lina Spika? Simuoni. Naibu ndo kiraaaazaa kabisa
 
Una uhakika? mbona jana nimemuona mh spika hapa dar?
 
Sasa kama aliyewateua amewataka wawe huko wao wafanyeje kando ya kutii maagizo?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Investigative journalism au? Hivi wapo kikazi au wapo likizo? Je ni nani JF member huwa hana likizo? Tusifanye kila kitu kuwa formal all the time. Mimi sifahamu kama wako likizo au kikazi. Jaji mkuu yupo kule kutokana na kufunguliwa mahakama kadhaa kama sikosei, Spika wa Bunge sifahamu kama yupo likizo au la? Tuache kuponda kwa kuonekana kuponda, what are the facts?
 
Chato oyeee... Tujenge ofisi ndogo ya Bunge huko maana mahakama ipo tayari.
 
Kuna viongozi wawili wakubwa nchi hii kwa kweli wanafedhehesha sana taifa, Spika Ndugai na Jaji Mkuu Ibrahim Juma.

Imagine hawa jamaa tangu kabla na baada ya sherehe za Uhuru zilizofanyika Mwanza Desemba 9 wamekuwa wakiishi Chato na Mwanza utafikiri ndo makwao yan, kwamba ni kwao na Spika Ndugai Kongwa, au Tarime kwa Profesa Juma.

Akili gani hii wanaume tena viongozi wakubwa wanakosa kuwajibika hadi wanahama makwao na kwenda kuishi ugenini, kwenye familia nyingine? Tabia mbaya sanaaa!

Hapo maana yake hata mwenyeji wao akitoka kwenda shamba nao wanaambatana naye, akitoka kwenda kuchunga ng'ombe wake na wao wanakwenda, halaf badae waje kutusimulia wakishastaafu kuwa walikuwa wanakwenda Chato kulimishwa shamba au kuchungishwa ng'ombe as if that is manhood to them😬

Grow some balls men, ni taifa ndo limewaheshimisha mkapata mamlaka makubwa, siyo demigod flan wa Koromije huko, chee!
Hii Nchi kuanzia wananchi hadi viongozi wote wanalalamika tu.
 
Tanzania ni yetu sote

Ana Uhuru wa kuishi apendapo

Wapinzani msiwe mnapinga kila Kitu Wananchi wanawaona kituko tu

Umeambiwa wanaume wazima wanamfuata mwanaume mwenzao kama hawana majukumu yao, ww unasema watu wanapinga kila kitu!!
 
Chato Tanzania, Mwanza Tanzania Kongwa Tanzania, hapo ulipo mleta mada naamini ni ndani ya Tanzania.

Kinakuuma nini spika kuwepo huko kanda ya ziwa muda wote huu!!?.

Kwa Ndugai kukaa huko siku zote alizokaa bibi au babu yako kijijini anapungukiwa au anaongezewa na nini maishani mwake?.

Ila mwanaume kweli uliyekamilika unaburuzwa tu kama duwanzi, mwenzao yupo kwao anazindua matundu ya choo, na wao wapo tu. Kama sio kujipendekeza ni nini?
 
Nyie niwatu wabaya sana, wasipoelewana mnasema tena mihimili haielewani , watu km nyie mlikuwepo tangia adam

Tofautisha kuelewana na kuburuzwa. Mtu yuko kwao hao wengine ni bendera fuata upepo tu. Mwanaume kabisa uliyekamilika unaenda kuzindulishwa kisima cha maji? Kibaya zaidi msafara wao ni zaidi ya 50m kisha wanazindua visima vya chini ya 10m!
 
Back
Top Bottom