Spika Ndugai, suala la akina Halima Mdee bado unavunja Katiba

Mtoa hoja kumbuka kuwa Mwenyekiti mwenyewe wa CHADEMA hajasema kitu ila wewe unakomaa. Acha ruzuku tuendelee kuipata kwani ofisi inafaa iendelee.
Mwenyekiti ndiye aliyesoma maazimio ya kamati kuu ya chama chao kuwafukuza uanachama watu hao. Sasa sijui unataka atamke nini tena.

Spika ameshapelekewa barua na CHADEMA kumueleza kuwa hao watu wamefukuzwa uanachama lakini Spika anawakingia Kifua.
Kiufupi Spika Ndugai anavunja katiba waziwazi bila hofu
 
Naamini kwanini Kidugu yule wa Korea alimtungua kwa Rocket Range yule mkuu wake wa masuala ya usalama how and why Spika anajibehave hivi mbele ya Mkuu wa nchi. Basi Ndugai angeweza kuheshimu vazi la suti tu.
FB_IMG_1618468429230.jpg
 
Ningeomba kumkumbusha Spika Ndugai kiapo alichokula, cha kuongoza bunge kwa kufuata kanuni na sheria za nchi.

Ningependa kumkumbusha Ndugai kuwa alikula kiapo hicho huku ameshika biblia na huku akilitaja jina la Mwenyezi Mungu...
Ukiona mtu anakataliwa na wapiga kura wake jua kuwa ana tatizo .
 
Ningeomba kumkumbusha Spika Ndugai kiapo alichokula, cha kuongoza bunge kwa kufuata kanuni na sheria za nchi.

Ningependa kumkumbusha Ndugai kuwa alikula kiapo hicho huku ameshika biblia na huku akilitaja jina la Mwenyezi Mungu....
Kwa jinsi Spika alivyosimamia suala hili kidete na kuahidi kuwalinda hao wanawake itakuwa vigumu yeye binafsi kutekeleza jambo hilo. Njia rahisi sana ya kuokoa jahazi na kuponya nchi ni wahusika kujitafakari kama kweli kwa mazingira yaliyopo kuendelea kuwepo wao bungeni kinyume na katiba ni jambo lenye tija.
 
Ningeomba kumkumbusha Spika Ndugai kiapo alichokula, cha kuongoza bunge kwa kufuata kanuni na sheria za nchi.

Ningependa kumkumbusha Ndugai kuwa alikula kiapo hicho huku ameshika biblia na huku akilitaja jina la Mwenyezi Mungu.

Ningependa kumkumbusha Ndugai kuwa kila siku kabla ya bunge kuanza kuna sala ya kuliombea bunge huku Jina la Mungu likitajwa

Sasa kwa muktadha huo, Ndugu Spika ajitafakari, Je wakati anakula kiapo kizito namna ile huku analitaja jina la Mwenyezi Mungu haogopi?, Yaani ni mkavu kabisa na moyoni mwake ana amani kabisa kuwa alilofanya ni sawa?

Mzee Msekwa amesema kuwa uwepo wa akina Halima Mdee bungeni ni uvunjifu wa katiba ya nchi, Je Ndugai ameziba masikio kabisa na kushiriki uvunjifu mkubwa huu wa katiba bila wasiwasi wowote?

Nimkumbushe tu Ndugai, Jina la Mwenyezi Mungu huwa halichezewi, Hicho kiapo ulichokula kuwa utaheshimu sheria za nchi halafu ukazivunja makusudi huku Ukijua, basi jua Biblia uliyoikamata wakati unaapa na Mungu alishuhudia. Na imeandikwa katika maandiko USILITAJE BURE JINA LA MUNGU wako!

Ndugai, Waondoe hao wabunge 19 ambao unajua wazi wamo bungeni kinyume cha katiba, nje ya hapo kumbuka kiapo chako ulichoapa kwa kulitaja jina la Mungu.

Ndugu Ndugai, Mungu huwa hataniwi!
Ndugai kumbuka Mungu hadhihakiwi Ukimdhihaki Mungu lazima UFE
 
Akina Mdee kuendelea kuwemo bungeni, ni Ushahidi wa wazi wa Kutoheshimiwa kwa Katiba ya nchi na huu ni ufa mkubwa sana.

Hata Rais hawezi kukwepa lawama katika hili kwa sababu na yeye ni Sehemu moja ya bunge!

Inabidi raisi ahakikishe katiba ya nchi inaheshimika mahali popote kwenye tentacles zake!
 
Ndugai aliletewa majina ya akina Halima Mdee na NEC

NEC imedai ilipokea majina hayo kutoka kwa J J Mnyika.

Nani wa kulaumiwa hapo!
Sisi tunamjua huyo ndie anastahili abebe lawama,zaidi kwa maneno yake na aliahidi kuwalinda kwa gharama yeyote.
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom